Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Labda raisi wa kanda yako huko!
Hatuwezi tena kufanya makosa kama yale ya kumpa nchi mwendazake.
 
jamani mhajachoka tuuu kutawaliwa na wahutu??? yule meko alikuwa wa huko na huyu mnataka kumleta ni mhutu kabsaaaaaaaaaaa
 
Walihamia kutokea wapi ?

Ukinijibu itapendeza sans

Ova
Mikoa yote ya mipakani tuna majirani zetu wengi waliohamia kwetu, wakalowea kwetu, wakaoa au kuolewa kwetu, wakazaa watoto ambao ni wenzetu ila watoto wao wana akili kuliko watoto wetu!. Hivyo kwa kila maeneo ya mipakani, wahamiaji wazawa ni the adjecent tribes!.
Ila pia, baadhi ya watambuzi huwatambua kwa ethinicy features!, ukiwatazama, sura zao, rangi zao, macho yao na meno yao, unaweza kuwajua na kuwa distinguish na wazawa halisi!.

P
 
Na ukitaka tuianzishe hoja
ya nani ni nani nchi hii!

Huko CCM ndio wamejificha wa kutosha.
 
Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anayefuata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Afrika.
Naam, taifa la mbilikimo sharti liongozwe na mbilikimo! Utadhani Nyerere, Mkapa walitokea Mauritius!
 
Na ukitaka tuianzishe hoja
ya nani ni nani nchi hii!

Huko CCM ndio wamejificha wa kutosha.
Sijasema tuanzishe hoja nani ni nani, bali kufuatia kufanya makosa fulani huko nyuma katika kuchagua viongozi wetu, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Aliyeumwa na nyoka, akiona unyasi anashituka!, tumeisha umwa na nyoka, tusirudie makosa!.
P
 
Back
Top Bottom