Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Ametoa solutions gani kwenye ajali ya ndege,ametoa solutions gani kwenye mfano wa umeme,ametoa solutions gani kwenye mgao wa maji
 
Ila nyie vijana
Yani uzunguke kote kote ety huyo anafaa kua rahisi[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji134][emoji134]
Kwangu mie huyu anafaa tena sana nazaidi hana makandokando kama wengine na maisha ya watu masikini zaidi kuyapitia sana kama njaa na tabu nyingi za raia wachini anatambua fika maana ni miongoni mwatoto wa vijijini kweli tena wakushindia muhogo
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Awezi kutokea akawa rahis labda akaoge mto Zaire mara elf moja na aende kweny pori la mbilikimo.
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Awezi kutokea akawa rahis labda akaoge mto Zaire mara elf moja na aende kweny pori la mbilikimo.
Kwani wewe ni Mungu? Kwamba unayajua maisha ya mtu yakesho?
 
View attachment 2410811

Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Makamba & Nchemba mtawapeleka wapi? Wakisikia watawaagiza CHAWA wao waje kumjeruhi BITEKO.

Huyu Biteko ni Kanda ya ziwa OG iliyokaribu na Uganda Rwanda na Burundi
 
Kwani wewe ni Mungu? Kwamba unayajua maisha ya mtu yakesho?
Yani uwezi amka tu na kumpa mtu sifa ya uraisi kuna vitu vingi vya kuangalia kuna vigezo vingi na vyenye thamani vya kuangalia. Kuna watu wengi wanasifa hizo na walikua na sifa hizo waliishia wapi kama sio kuhujumu uchumi na ni maarufu kwa kazi hizo.
Kiongozi achaguliwi kwa kuangalia kwao alikua masikini na alilala njaa au kwao alikua tajiri alitembelea Benz.

Kila mtu na mtazamo wake lkn huyo Biteko hana sifa yyte ya kua Rais jaribu kuangalia mtu mwingine ntakua hapa kukupa pongezi
 
Una akili sana, mke wangu
 
Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Naunga mkono hoja!, Biteko is a good as JPM. Wakoloni walipokuja na kuweka mipaka, kuna makabila ya mipakani yalikatwa pande mbili, hivyo hawa jamaa wa makabila ya majirani zetu waliohamia Usukumani, na kuwa intergrated and assimilated into Wasukuma, are real good!, kwanza wana akili sana!, pili ni wachapa kazi na majembe kazi, na tatu, wanakuja na the good, the bad and the ugly characteristcs of asili yao, kama yule blaza wangu, hivyo we have to take the bitter with the sweet, tuukubali uzuri wao, na vidonge vichungu vyao pia tumeze!. Je, aachwe aseme tu, By "Taking The Bitter With The Sweet", Or Atumie Busara?

Baada ya jina hili kuanza kutajwa, naendelea kuisisitizia tena ile hoja yangu kuhusu Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P
 
Naunga mkono hoja!, hawa jamaa wa jirani zetu waliohamia Usukumani, kiukweli wana akili sana!. Baada ya jina hili kuanza kutajwa, naendelea kuisisitizia tena ile hoja yangu kuhusu Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P
DNA ya nn km mtu ana Uraia by birth right?huyu unataka apimwe uraia, ila yule kichwa panzi wako hua una tag nyuzi za kumfagilia, next time kwenye nyuzi zinazomhusu tag hii ya DNA unaweza kuta nae mhamiaji tu km makamu na yule jamaa wa kilimo...
 
Sio heshima kuita mtu "kichwa panzi", hili la ushauri wa kutumia DNA Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu? umetokana na uzi huu Kauli ya Kakobe "Magufuli atubu", yaibua mambo! Je asili halisi ya Rais Magufuli ni Msukuma, Mhaya au Muha wa Kakonko?
P
 
Naunga mkono hoja!, hawa jamaa wa jirani zetu waliohamia Usukumani, kiukweli wana akili sana!. Baada ya jina hili kuanza kutajwa, naendelea kuisisitizia tena ile hoja yangu kuhusu Ili kuepuka possibility ya kutawaliwa na wageni, kuna haja kutumia DNA kuthibitisha asili halisi za viongozi wetu wakuu?
P

Unenikumbusha jamaa mmoja apolinary nikimwona masumbwe nilijua ni msukuma kabisa, na anaongea kisukuma cha ndani ndani , siku niko mji mmoja Burundi rafiki yetu akawa kapata msiba, kwenda ndio namuona jamaa kumbe pale msibani ndiko anakozaliwa na anadunda TZ bila kuulizwa na yeyote kwa sababu anaongea kisukuma, na ni technic wanayotumia yaani wanyarwanda hujifunza kihaya au kinyambo kwa upande wa kagera, warundi hujifunza kisukuma hapo wanakula mema ya nchi vizuri, wakifaidi ardhi hadi chunya wanafika na kua na uraia pacha kimchezo huku Tanzania akitumia majina mengine na kwao akitumia majina mengine kabisa, tena akipiga jezi ya yanga au simba ndio basi tena basi tu hua nafika sehemu nasema uhamiaji wana kitengo cha intelijensia au hawana?
 
Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Kwasababu ni msukuma? Naona mpaka kaka yako wa njaa kali kakugongea like
 
DNA ya nn km mtu ana Uraia by birth right?huyu unataka apimwe uraia, ila yule kichwa panzi wako hua una tag nyuzi za kumfagilia, next time kwenye nyuzi zinazomhusu tag hii ya DNA unaweza kuta nae mhamiaji tu km makamu na yule jamaa wa kilimo...

Kwani uliona matendo ya marehemu yanafanana kabisa na msukuma wa lamadi, bariadi, maswa, mwamashimbi, mwakitolyo, sengerema, buchosa, ngudu kwimba, au hata ongea ya king msukuma wa nzera unaona anaongea kama mbunge wa magu?
 
Hatukumchagua kwa usukuma wake, dini yake, lugha anayoongea au mahala anapotoka...kabila lake sisi halituhusu...As long as alikua ni Mtanzania by birth hio tu inatosha, it does matter wazazi wake walikua kabila gani, tuna wajaluo, wakurya na wamasai kibao wana ndugu Kenya na Tanzania, the same to wamakonde wa Tanzania na Msumbiji...
Katiba inataka awe mtanzania, na mtanzania anaweza kua ni mtanzania kwakua wazazi wake walihamia Tanzania kabla ya uhuru or mtanzania kwa kuzaliwa, or kwa kuomba uraia...hio tu inatosha, hayo mengine ss hayatuhusu...
 
Back
Top Bottom