Lililo dhahiri ni hili;
1. Mwanamke Rais Samia Suluhu Hassan hawezi kuchukua form ya kugombea u - Rais aidha kwa hiari yake au kwa kukataliwa na chama chake iwapo tu ataendelea kupata neema ya kufika hadi hiyo 2025...
## Kwa hili uko sahihi, Tanzania haikuwa tayari na haitakuwa tayari kuongozwa na mwanamke tena labda mpaka baadaye miaka ya usoni..
2. Haijalishi huko CCM nani atachukua au hatachukua fomu za ugombezi wa u - Rais.
Ila, this is undisputed fact, kwamba, uwezekano wa CCM kuendelea kuongoza nchi unafikia ukingoni kama siyo kesho basi si zaidi ya 2025...!
Kwa hiyo, tunapojadili hatima ya uongozi wa taifa la Tanzania, tuna kila sababu ya kuanza kuiondoa CCM ktk hatima ya nchi hii...