Tatizo Si MWANAMKE, tuangalie capacity.
Hoja haipigwi Rungu
Mchukue Anne Makinda, Halima Mdee,Prof Ndalichako au Asha Rose Migiro, mchukue na aliepo, wachanganye pamoja.
Afu walete Kwa wananchi wachaguliwe Kwa kura kama itabaki ilivyo. Amen
Kwa akili yako unaona Prof Ndalichako ana uwezo wa kuwa Rais mzuri kumzidi Samia? Au PhD ya Asha Rose Migiro inakufanya umuone ni Bora kuliko Samia? Uongozi ni karama na karama unazaliwa mayo. Kuongoza Taifa la watu 60 Million wenye makabila zaidi ya 120, dini za kisasa na za asili, wakristu na waislamu, itikadi za vyama tofauti siyo sawa na kuwa Lecturer wa UDSM.
Tumeona maprofesa kama Kabudi au Muhongo namna walivyoharibu kwa kazi za Uwaziri tu licha ya kuwa na mavyeti yote. Tumeona Magufuli mwenyewe licha ya kuwa na PhD ya ku copy naye alikosa karama ya uongozi, ndiyo maana ukimpinga alikuwa havumiliii, anatuma watu wake wanakuteka, wanakutesa na ikibidi wankuua. Angalia alivyowafanya akina MoDewji, Lissu, Ben Saanane na viongozi wa CDM.
Rais Samia ameituliza nchi, tumekuwa tukiishi kwa amani tofauti na yule SHETANI ambaye yeye mwenyewe alikuwa na vikosi vya kuteka, kutesa na kuua vikiendeshwa na akina Makonda na Sabaya.
Baadhi ya mambo mema aliyotutendea Samia ni kama:
- Watoto waliopata mimba wanarudi shule kusoma
-Madarasa zaidi ya 10,000 na vituo vya Afya vimejengwa nchi nzima
-Watumishi wa Serikali wameongezewa mishahara na posho
-Magazeti yaliyofungiwa yameachiwa kama Tanzania Daima
-Waliobambikizwa makesi ya uwongo wameachiwa
-Diplomasia ya kimataifa imefunguliwa na wawekezaji wanakuja nchini
-Kikosi cha kunyang'anya fedha za wafanyabiashara cha TRA kimevunjwa
Binafsi hata kama hamumpendi Samia lakini anafanya mambo yanayojenga uchumi wa nchi.
Dogo mwisho wa samia ni 2023.
Si unakumbuka hata chama kilimpa uenyekiti wa miaka miwili tu?
Huyo bibi hatoboi. Kuna wahuni watamtawanya kibabe na kumtia benchi — Yaani anatulizwa kisayansi anatulia tulii.
Sijui utakuwa chawa wa nani kuanzia hapo? Utamrukia tena mtu mwingine kumdalalia?
Nyie watoto mna shida kweli. Udalali haulipi, fanya kazi.
Siasa zina manguli wake, na wewe sio mmoja wao.
Imbicile, can't waste my moment with a twat