Stuxnet
JF-Expert Member
- Feb 12, 2011
- 13,417
- 23,310
Sukuma Gang mumekosa shughuli mwishowe kuwa WACHAWI. Tafuteni kazi mufanye za kupatia vipato, hizi ndoto za KIWENDAWAZIMU hazina maana.Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.
Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.
1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.
2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.
3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.
4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.
5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.
6. Wabunge wengi waliopo sasa watumie vyema fedha zao kuwekeza na wasichukue form za kugombea tena maana watakatwa.
7. Sura mpya kabisa zitapokea kijiti kuongoza nchi na wapinzani watapata baadhi ya majimbo maana mtu kama Dr Msukuma atahama chama na kushinda kwenye chama chake kipya.
Asanteni
Samia ndiye Mwenyekiti wa CCM na siyo mjinga hata kidogo. Kama ametumia busara kiasi hilki kuwatuliza wapinzani ambao mtangulizi wake alikuwa anawapiga risasi, anawanyang'anya fedha, anawatupa jela, je atashindwaje kuwatuliza wana CCM?
Nakuhakikishia kuwa Samia ni mgombea wa CCM wa 2025 na atashinda kwa kishindo bila kuiba kura kwa kuwa mipango yake ya uchumi iko vizuri.