Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Mkuu

Atakayeshinda uchaguzi wa mwaka 2025 iwe kwa halali au mabavu na hila ni sharti nyota yake inayoundwa na herufi za majina matatu, tarehe ya kuzaliwa, mwezi na mwaka pamoja na tarehe ya uchaguzi jumla yake iwe inagawanyika kwa mbili ndio mshindi. Kinyume na hapo ni balaa hatodumu hata siku moja ofisini.

Mfano: JPM [10+16+13] + [Date29Month10+Year59] + [Election Date29=1+6+6 =1+3=4=WINNER by aggregate of one point above 50%

The same formula for 2025!!!!
Kwahiyo ni mimi?
 
20221108_225752.jpg

Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anayefuata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Afrika.
 
View attachment 2410811

Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Nyie mnaotuletea maraisi wa ajabu ndio mnaharibu nchi
 
View attachment 2410811

Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anaefata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Africa.
Nchini na Afrika!!?? Mpumbavu nn
 
Usingizi ni wako, ndoto ni yako kitanda ni chako ila ukiotacho usikiseme humu jukwaani.
Tanzania ilishapita kwenye majaribio mengi sana hivyo usiwaze na jaribio lingine tena kwa sasa.
 
Kwahiyo ukiwakiongozi hutakiwi kwenda kuburudisha akili, Mie naungana na mtoa maada huyu jamaa anatufaa kama tutataka kurejesha nidhamu
Ila nyie vijana
Yani uzunguke kote kote ety huyo anafaa kua rahisi🤣🤣🤣🤣🤣🙆🙆
 
Back
Top Bottom