Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Ili kupata kura za sukuma gang 2025. Any sukuma gang kuja kuwa rais tena nchi hii....never and never again
Sisi sukuma gang hatumtambui huyo bibi na hapati kura hata nusu kutoka kwetu, hata kwa bahati mbaya. 2025 tunaleta chuma kingine na hakuna kitu chochote utafanya, kaa utulie.
 
Sijasema tuanzishe hoja nani ni nani, bali kufuatia kufanya makosa fulani huko nyuma katika kuchagua viongozi wetu, kufanya kosa sii kosa, kosa kurudia kosa!. Aliyeumwa na nyoka, akiona unyasi anashituka!, tumeisha umwa na nyoka, tusirudie makosa!.
P
Kosa gani tulilofanya?
 
Sisi sukuma gang hatumtambui huyo bibi na hapati kura hata nusu kutoka kwetu, hata kwa bahati mbaya. 2025 tunaleta chuma kingine na hakuna kitu chochote utafanya, kaa utulie.
KATIBA mpya itokanayo na Rasimu alosimamia Judge WARIOBA ni muhimu kuliko AJAYE.

Itatuondolea nyufa hizi ktk Taifa, Ukabila, ukanda, udini, matabaka ya kiuchumi,madaraka yalopita mipaka ya Rais, mifumo kandamizi nk.

Muungano wa Serikali 3 utatufaa sana.

Ameeeen.
 
2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.

3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.

Asanteni
Mkuu Bei Elekezi , kwanza naunga mkono hoja, mgombea urais kwa CCM mwaka 2025, anaweza asiwe mwanamke, kwasababu hata mimi niliambiwa Voices From Within: Japo 2025 Tumepanga Twende na Mwanamke, 2025 Mama Akabidhi Kwanza Mwanamume, Kisha 2030 Ndipo Aje Mwanamke

Ila kwa CCM, fomu inatolewa moja tuu!, na inatolewa kwa Samia!, unless Samia ndio aamue hiyo fomu yake amchukulie mtu mwingine!.
P
 

Jina lake Dotto Biteko.

Ndio Rais anayefuata baada ya Samia Suluhu. Ndio Rais ataefanya transformation kubwa za kiuchumi kwa taifa.

Atachanganya demokrasia na dictatorship kwa pamoja. Atakutana na vikwazo vingi ila raia watamuelewa na kumuunga mkono.

Haya ni maono yangu tu, sio habari za chini ya kapeti.

Tanzania itakuwa na Rais bora kabisa kuwahi kutokea nchini na Afrika.
Huyu ndo FDR?
 
Hata Muhoz Kainerugaba anafaa Sana Hapo uganda!umeshamshauri mzee apumzike na ni zamu ya Kijana wake!!?

Kuhusu ukorofi ule atatulia tu akiwa chini ya uangalizi kama Rais wa Uganda!!

Wasalimie kina iliharugo Hapo Mbarara!!
Salamu nitazifikisha Mwl. ila kwa posta,mimi siko Mbarara. Sisi tunajipanga na wa kwetu Samia Suluhu Hassan.
 
Kwani English ndio usomi?

Ndalichako ni mathematician, msomi mwenye PhD na mkufunzi wa Chuo Kikuu (Doctorate) — A Professor of Mathematics.

Samia ni mcheza vigodoro. Sio mtaalamu. Hana Curriculum Vitae — Hajulikani hata ametokea wapi (Kuna fununu zinasema alikuwa SEKRETARI wa vikoba).

Yaani hapo hata wazee wa nchi wakikaa kupiga "ana ana doo", samia wanamfyeka chap bila kuulizana ulizana.
Hebu mheshimu Rais mkuu! Unakosea.
 
Umesanua Mapema , "Mazeri" atajipanga kama alivyojipanga JIWE ,yeyote atakayenyanyua shingo atalimwa kama kina Membe,Kinana,Makamba enzi za Ponsio Pilato.
 
Habari za Leo ndugu zangu, poleni na majukumu ya siku ya leo.

Leo nimeona niwajulishe kile ninacho kiona mwaka 2025 na uzi huu uwe shahidi itakapofika wakati huo.

1. Mpaka mchakato wa ndani wa kupata majina ya wagombea CCM unaanza, chaguo la wengi kwa nje litakuwa Mwanamke.

2. Form yakwanza itachukuliwa na mwanamke na mpaka hapo watu wataamini mgombea ni mmoja.

3. Mwanaume mmoja atachukua form kimya kimya.

4. Siku ya mwisho ya kurejesha form jumla ya majina yatakuwa zaidi ya mawili, yatakayokuwa na vigezo ni mawili.

5. Jina la pili litapata nguvu ghafla na halita zuilika na litaleta mshtuko kwa wapinzani.

6. Wabunge wengi waliopo sasa watumie vyema fedha zao kuwekeza na wasichukue form za kugombea tena maana watakatwa.

7. Sura mpya kabisa zitapokea kijiti kuongoza nchi na wapinzani watapata baadhi ya majimbo maana mtu kama Dr Msukuma atahama chama na kushinda kwenye chama chake kipya.

Asanteni
Kabla ya huu Uzi, tukumbushe ulichowahi kutabiri kikatokea
 
Back
Top Bottom