Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Ni pale tu Zanzibar itakapoacha. Ubaguzi kwa Wabara kwa sababu zao, we mlamba asali jipe moyo ila kuna siku litabutuka.
Eti mgawane madaraka ya nchi (sawa kwa sawa) yenye watu milioni 60 na watu waliokusanywa milion 2 katika wilaya !!
Yaani mgawane keki ya taifa sawa kwa sawa.
Yaani mgawane fedha za mikopo sawa kwa sawa, ila kulipa isiwe sawa kwa sawa!
 
We ndio umeongea ukweli mchungu, wengine wanajitia moyo tu.
Sawa!

Lakini si mpaka tufikie huko 2025!?

Kwanini mnapenda ku project mambo kabla ya Muda!?

Mnamchuria Sasa 2025 BADO mbali Sana kwanini !!!?mnamsababishia vita vya Bure tu! mwacheni atimize ilani KWANZA!

Aiseh!!
 
ukitaka kuruka sharti agana na nyonga.

kwa upepo ulivyo. nafasi ya urais itakuwa ya kuogofya kwani kabla ya 25 mpango atakuwa rais tayari.
mama yenu atapumzishwa kwa manufaa ya "UMMA' na akikaidi ata leftishwa in Peace
Na Wazanzibara wote tuseme AMINA!!
 
Tunaenda na mama mpaka 2030 mama mpenda haki Mungu amlinde na amtunze!
 
Kuna mtu anajiita #MguseMamaNinuke huko Twitter ngoja nimlete humu Ili anuke.
 
This was November 8, 2022.

Okay
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…