Utabiri: Mgombea urais CCM 2025 hatakuwa Mwanamke

Form itakua moja tuu kama 2020
Lazima tuwanyooshe wote
Ila limagu nalo lilikuwa lioga duhπŸ€£πŸ€£πŸ™Œ

Zile fujo zote zilikuwa mikwara mbuzi kubabeki ndo maana wakamleftisha kilaini tu
 
2005 walisema mshindi wa urais atakuwa mwanamke, aliposhinda aliyeshinda, wakajitetea wakasema "si mnaona ana sura ya kuvutia halafu hana ndevu?"

Huenda akawa mwanamke ila mwenye sura ya mamba
 
Hata akiwa yeye atakuwa amechoka mno maana wanamhangaisha sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mada hajanishtua Ila jina la mleta mada na tarehe aliyoleta.

" Boss la DP World tarehe 21/6/2022" tarehe hizo hata wabunge hawakujua Kama kuna kitu kinaitwa DP World, hatari
Kuna watu wako mbele ya muda.
 
πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜†πŸ˜† Chawa wakiona uzi huu wanagwaya !!
 
Itakuwa kosa la Karne CCM kuwa na Mgombea mwanamke kwenye uchaguzi ujao, labda kama nia ni kuiba kura kwa kwa uchaguzi wa haki haiwezi kushinda asilani.
 
Mada hajanishtua Ila jina la mleta mada na tarehe aliyoleta.

" Boss la DP World tarehe 21/6/2022" tarehe hizo hata wabunge hawakujua Kama kuna kitu kinaitwa DP World, hatari
Boss la DP World=Bei Elekezi!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…