Utabiri: Ni suala la muda tu kabla Mwigulu hajaondolewa katika nafasi yake kwa kubadilishwa wizara au kuondolewa kabisa katika Baraza la Mawaziri

Kabugi sana kwenye Kodi ya miamala ya benk ,wakati bank charge zipo ,yaani unafanya double taxation alafu anajiona ni Daktari wa uchumi
 
Huu nao ni ujinga uliokujaa kichwani..

Kwani itakuwa mara ya Kwanza Mwigulu kuhamishwa Wizara au kuondolewa?

Waziri nani ambae unaona ana hatimiliki ya kuwa Waziri mda wote? Tutajie
 
 
Alishiriki kuleta maafa ya watu kule Soweto Arusha. Sitasahau! Ilifikia kipindi anaitwa Savimbi, very arrogant hadi leo
 
kiongozi mzuri ni yule anaejali maslahi ya watu wa hali ya chini, anamchonganisha mama na wananchi, muangalie sana huyu mtu
Huyu mama yako anafurahia huenda nae tozo zina mnufaisha ila kma kweli mama yako angekuwa hapendezwi na haya hakika nakuambia siku mingi sana kala chuma
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…