Utabiri: PSG Ndio Mabingwa Wa UEFA Champions League 2021

Kama Madrid ,wafalme ,galacticos ,hala Madrid watafika fainali ,hakuna namna kombe ni lao Watake wasitake.
 
Bado mchanga Sana.
 
Hii mechi ni ya kisasi kati ya Mauricio Pochetino na Pep Guardiola.

Man city atafungwa tena pale pale Etihad
 
Ni kweli chelsea siyo prey wa timu za Spain sitashangaa akiwatoa Madrid
 
Lakini wanaoption nyingi kuwadhibiti Man City kuliko options alizonazo Man City.

Kumbuka pia Pochetino siyo prey sana kwa Guardiola.
 
Guardiola huwa hana mfumo wa kudhibiti individual players.

Yeye anachokifanya ni kuushikilia mpira wewe uhangaike kuutafuta na usifike kwenye final third yao.

Lakini kwa aina ya uchezaji wa PSG Man City atakuwa na wakati mgumu sana.

Kwanza PSG wanamachaguo mazuri kila angle ya uwanja kuliko Man city

Hivyo PSG kumfunga Man city itakuwa kazi rahisi labda kwa sababu mpira unaambatana na bahati yawezekana bahati ikawaangukia Man City.
 
Tatizo umekariri!! Ndoo anabeba Chelsea. Kwanza hana pressure, pili nguvu zake zote na mawazo yake yote amewekeza champions league wakati hawa wengine wanawaza pia kubeba ndoo kwenye ligi zao. Ndio maana chelsea hakuwa na mawazo na mechi ya epl dhidi ya west ham akafungwa 5-1, lakini akamfunga porto 2-0!! Wasiokariri wanajua chelsea mwaka huu ni simba mwenda pole ndiye mla nyama!! Mtanikumbuka!
 
Mwaka 2016 wakati mancin ..


Man city tulikutana na psg round ya 16


Tulianzia paris kama tumevopangwa saizi ..

Tukatoka 2-2 kdb alipiga mpira ambao sio wa nchi hii ...

Walivokuja etihadi ,dakika ya 76 walikula shoot moja nje ya 18 la kdb aisee ukawa mwisho wao agg 3-2 ...

Hio ilikuwa psg ya moto ya kina zlatan ...


Kwa uchezaji wa psg ,wa kufunguka sioni man city akikosa goli ka ugenin kule paris ....



Uefa ni game of chance ,ukianziwa nyumban ni hatari sana ..
 
Mbona huwa anafungaga
hata raheem sterling huwa anafungaga lakin kama unataka ubingwa wa UEFA hivi vitoto haviwez kukufungia magoli sababu vinaitaji chanc 10 ili vifunge goli moja,,,

so kwa psg wasitegemee kupata chance zote izo so ni bora kwenda na KDB tu
 
lini chelsea kafungwa na westham 5[emoji15]
 
Man City hajawahi kuvuka robo fainali pia.
 
Man City hajawahi kuvuka robo fainali pia.
Wewe ni kilaza saizi si yupo nusu final ...

Hapo juu nimesema round ya 16 alimtoa psg na alifika semi fina na madrid akatolewa kwa aggre ya 1-0 kama hivo...

Au unasema man city ipi ....

Kwanza umeanza kuifuatilia city lini ? Au iyo game na psg 2016 ulikuwa huijui city ?

Pep alikuwa hajaja ...




Sent using Jamii Forums mobile app
 
1 Ndiyo mara yake ya kwanza kuingia semi final.

2 Kwani round of 16 ni kuvuka robo finali ?

3 hata msimu huu mwisho wa Man city ni hapo mlipofika.

4. Kikosi kina Ander Herera, Gana Gueye Paredes, Marco Verrati, Dimaria, Mbappe na Neymar hiyo Man City inavyokuwa exposed nyuma itaponea wapi ?
 
Man city haiwezi kumtoa PSG semi Final, kama mliweza kutepeta kwa Borrusia Dortmund ambayo karibu kikosi kizima ni under twenty mtaweza kupambana na kikosi imara kama PSG ?
 
Siunaona ulivo kiazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]


2016 man city kafika nusu final na madrid

Fuatilia mpira ndio uje hapa kuongea na wanaume ...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…