balibabambonahi
JF-Expert Member
- Apr 5, 2015
- 15,771
- 14,294
They are still young for the racePsg ya sasa imebadilika kweli
Binafsi naona mwaka huu uefa ni wao
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
They are still young for the racePsg ya sasa imebadilika kweli
Binafsi naona mwaka huu uefa ni wao
Kama Madrid ,wafalme ,galacticos ,hala Madrid watafika fainali ,hakuna namna kombe ni lao Watake wasitake.PSG hawafurukuti zaidi wanategemea individual brilliance ya Mbappe, na ninavyomfahamu Guardiola atatafuta mfumo utakaomficha huyo Mbappe hataonekana uwanjani kama ilivyotokea kwa Haaland, nampa nafasi Man City kwenda fainali na ikitokea akafika fainali bado nampa City nafasi ya kuwa bingwa kama atakutana na Madrid, City wana ubora wa kikosi Madrid wanabebwa na historia tu.
Bado mchanga Sana.Wanapojadiliana muwe mnaangalia na kila timu njia iliyopita mpaka kufika alipo. Kwa upande wangu chelsea kwa timu za spain hana huruma nazo refer atletico pamoja na kuongoza lig alipigwa nje ndani.
Fainali itakuwa chelsea vs psg the winner the blues.
Kwa mnaopenda kubet utajili huo betini
Hii mechi ni ya kisasi kati ya Mauricio Pochetino na Pep Guardiola.Timu bora kwa sasa ulaya ni.
1. Bayern Munich
2. Man City
3. PSG.
Psg Kamwondoa bingwa mtetezi, Munich, japo kwa upepo. Anakuja kukutana na timu bora baada ya Munich. ManCity. Hawa jamaa wapo vizuri sana. Psg hawana ubora wa city. Hii game ni ngumu ila naamini kwa 100% city anavuka hii round.
Madrid vs Chelsea hii game nayo ipo 50/50. Chelsea wamebadilika baada ya kumpata Tuchel, wanacheza mpira mzuri na wa kushambulia. Yeyote hapa anapita.
Fainal itakuwa ni City vs Madrid/chelsea. Na City anaibuka kidedea hapa.
Guandiolla anaenda kunyanyua kwapa baada ya kulikosa kombe kwa muda mrefu sana.
Ni kweli chelsea siyo prey wa timu za Spain sitashangaa akiwatoa MadridWanapojadiliana muwe mnaangalia na kila timu njia iliyopita mpaka kufika alipo. Kwa upande wangu chelsea kwa timu za spain hana huruma nazo refer atletico pamoja na kuongoza lig alipigwa nje ndani.
Fainali itakuwa chelsea vs psg the winner the blues.
Kwa mnaopenda kubet utajili huo betini
Lakini wanaoption nyingi kuwadhibiti Man City kuliko options alizonazo Man City.PSG utoto mwingi wanatengendza nafasi 15 wanafunga 1, rudia game ya bayern, Lille na lyon....pia PSG wao wanatefemea individual excellence ya Mbappe na Neymar
pia kiungo chao nje ya Verrati hawana lolote, Madrid akipita au chelsea akipita anamfunga PSG....kwanza sidhani kama atamfunga City
Guardiola huwa hana mfumo wa kudhibiti individual players.Nimezungumzia mfumo, mfumo unaotumika ni kuhakikisha wanakata supply ya mipira itayosababisha mikimbio kwa Mbappe ambapo hapo ndio huwa hatari zaidi, sizungumzii kumkaba mtu man to man kama unavyosema kwa Mourinho, ufundi wa Guardiola uko well too far above Mourinho.
hujanielewa bado mkuu
Tatizo umekariri!! Ndoo anabeba Chelsea. Kwanza hana pressure, pili nguvu zake zote na mawazo yake yote amewekeza champions league wakati hawa wengine wanawaza pia kubeba ndoo kwenye ligi zao. Ndio maana chelsea hakuwa na mawazo na mechi ya epl dhidi ya west ham akafungwa 5-1, lakini akamfunga porto 2-0!! Wasiokariri wanajua chelsea mwaka huu ni simba mwenda pole ndiye mla nyama!! Mtanikumbuka!Habari.
Hadi sasa zimebaki timu nne ambazo zitacheza hatua ya nusu fainali na ratiba:
Leg 1.
27 April 2021 Tuesday
Paris Saint Germain Vs Manchester City
Real Madrid Vs Chelsea
Leg 2.
04 May 2021 Tuesday
Manchester City Vs Paris Saint-Germain
Chelsea Vs Real Madrid
Hapo bila kupepesa macho mpira anaocheza Paris Saint Germain dhidi ya kocha wao Pochettino umekuwa na nidhamu ya kutafuta matokeo tu hakuna kingine.
Hivyo pasi ubishe usibishe Paris Saint Germain atakuwa Champion wa ligi ya mabingwa ulaya.
Final itachezwa 29 May 2021 Ataturk Olympics Stadium.
Final itakuwa ni Paris Saint Germain Vs Real Madrid na bingwa atakuwa Paris Saint Germain.
Nawasilisha Mzee Mkoloni.
Cc: Kichwa Kichafu
hata raheem sterling huwa anafungaga lakin kama unataka ubingwa wa UEFA hivi vitoto haviwez kukufungia magoli sababu vinaitaji chanc 10 ili vifunge goli moja,,,Mbona huwa anafungaga
lini chelsea kafungwa na westham 5[emoji15]Tatizo umekariri!! Ndoo anabeba Chelsea. Kwanza hana pressure, pili nguvu zake zote na mawazo yake yote amewekeza champions league wakati hawa wengine wanawaza pia kubeba ndoo kwenye ligi zao. Ndio maana chelsea hakuwa na mawazo na mechi ya epl dhidi ya west ham akafungwa 5-1, lakini akamfunga porto 2-0!! Wasiokariri wanajua chelsea mwaka huu ni simba mwenda pole ndiye mla nyama!! Mtanikumbuka!
Mechi aliyocheza Chelsea ya mwisho kabla ya kucheza na Porto.lini chelsea kafungwa na westham 5[emoji15]
Bayern alisumbuliwa na majeruhi, hakua na full mkokoPsg kitendo cha kumtoa Bayern Munich sio wa kubeza kabisa,
Bayern na man city nikama gunia la siafu ni wagumu sana.
Man City hajawahi kuvuka robo fainali pia.Mwaka 2016 wakati mancin ..
Man city tulikutana na psg round ya 16
Tulianzia paris kama tumevopangwa saizi ..
Tukatoka 2-2 kdb alipiga mpira ambao sio wa nchi hii ...
Walivokuja etihadi ,dakika ya 76 walikula shoot moja nje ya 18 la kdb aisee ukawa mwisho wao agg 3-2 ...
Hio ilikuwa psg ya moto ya kina zlatan ...
Kwa uchezaji wa psg ,wa kufunguka sioni man city akikosa goli ka ugenin kule paris ....
Uefa ni game of chance ,ukianziwa nyumban ni hatari sana ..
Wewe ni kilaza saizi si yupo nusu final ...Man City hajawahi kuvuka robo fainali pia.
1 Ndiyo mara yake ya kwanza kuingia semi final.Wewe ni kilaza saizi si yupo nusu final ...
Hapo juu nimesema round ya 16 alimtoa psg kenge wewe ,japo alikuja kutolewa robo final...
Au unasema man city ipi ....
Kwanza umeanza kuifuatilia city lini ? Au iyo game na psg 2016 ulikuwa huijui city ?
Pep alikuwa hajaja ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Man city haiwezi kumtoa PSG semi Final, kama mliweza kutepeta kwa Borrusia Dortmund ambayo karibu kikosi kizima ni under twenty mtaweza kupambana na kikosi imara kama PSG ?Wewe ni kilaza saizi si yupo nusu final ...
Hapo juu nimesema round ya 16 alimtoa psg kenge wewe ,japo alikuja kutolewa robo final...
Au unasema man city ipi ....
Kwanza umeanza kuifuatilia city lini ? Au iyo game na psg 2016 ulikuwa huijui city ?
Pep alikuwa hajaja ...
Sent using Jamii Forums mobile app
Siunaona ulivo kiazi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]1 Ndiyo mara yake ya kwanza kuingia semi final.
2 Kwani round of 16 ni kuvuka robo finali ?
3 hata msimu huu mwisho wa Man city ni hapo mlipofika.
4. Kikosi kina Ander Herera, Gana Gueye Paredes, Marco Verrati, Dimaria, Mbappe na Neymar hiyo Man City inavyokuwa exposed nyuma itaponea wapi ?