chabuso
JF-Expert Member
- Feb 18, 2013
- 6,380
- 5,884
Hapo zama za kale Raisi wa Zanzibar ndie aliekuwa VP,lakini kutoka na ufefhuli aliofanya Kamando Salimini Amour,kufikia hadi kusema " hakuna Raisi mkubwa na mdogo Raisi ni Raisi tu"Japo ni kweli ki protokali VP ni mkubwa kuliko rais wa Zanzibar, ila kimamlaka, VP ni just a ceremonial position as a standby, in case something happens to the president, lakini hana mamlaka yoyote, hana powers zozote za kufanya chochote na hata akikaumu urais hawezi kusaini chochote, zaidi ya kutembea na mikasi na kumwakilisha rais kwenye events, lakini rais wa Zanzibar ni rais kweli wa nchi ndani ya nchi, ana dola, ana nguvu na ana mamlaka, hivyo kiutendaji Rais wa Zanzibar ana madaraka na mamlaka kuliko VP.
P.
Kinyemela bila kushirikisha Wazanzibari na Watanzania kwa ujumla cheo cha makamo wa Raisi wa kuchaguliwa kikaundwa.
Hii yote ilifanywa kwa Madhumuni ya kupunguza nguvu za Zanzibar katika Muungano..
God bless Zanzibar, Tanzania and Africa as whole