Utabiri: Siku chache zijazo itatokea ajali ya Ndege ya abiria

Du watu mnalazimisha mambo! Sasa kuna uhusiano gani kati ya alichoota na kilichotokea?
 
Mliokua mna kejeli na matusi mlikumbuka kusali? Au ni kujionesha mnajua kutukana jf!
Watanzania watu wazima wako zaidi ya milioni 30. Kungekuwa na uwezekano wa kuuliza raia wote vitu vyote walivyoota usiku, kwa muda wa wiki moja, ni lazima wako walioota ndege kuanguka.
 
Watanzania watu wazima wako zaidi ya milioni 30. Kungekuwa na uwezekano wa kuuliza raia wote vitu vyote walivyoota usiku, kwa muda wa wiki moja, ni lazima wako walioota ndege kuanguka.
Sasa kama unakiri watu wana uwezo wa kuota kwanini uone huyu analeta chai? Hao wengine hawana pa kusemea au walisema wakakutana na watu kama nyinyi wakaamua wakae na utabiri wao kimya.

Kama wewe huna karama ya maono usilazimishe wengine wazike za kwao.
 
Dada wala sihitaji credit kutoka kwa mtu yeyote lakini jua kwamba nina kipawa na nina uwezo wa kupata maono katika jambo lolote,hivi hujiulizi kwanini sijasema ajali ya gari?au unadhani ajari za gari huwa sizionagi?
Mkuu nicheck basi mm na huyu bwana angu kama tutatoboa ndoa au tunachezeana 🀣🀣🀣

Cc Lenie
 
Dada wala sihitaji credit kutoka kwa mtu yeyote lakini jua kwamba nina kipawa na nina uwezo wa kupata maono katika jambo lolote,hivi hujiulizi kwanini sijasema ajali ya gari?au unadhani ajari za gari huwa sizionagi?
Hahahaha!! nitakuja PM tuyajenge maana na mimi nina hicho kipawa nashindwa kukiongoza.
 
Mkuu basi tabiri kuhusu senene kunaswa na umeme kule buseresere
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…