Utabiri: Siku ya uchaguzi, mbali na Polisi, watasambaza pia wanajeshi vituoni na mitaani wakiwa na mitutu ya bunduki

Salary Slip

Platinum Member
Joined
Apr 3, 2012
Posts
52,828
Reaction score
165,667
Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.

Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION.

Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa vyama vyote mpaka wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi.

Kwa sasa wanapima upepo na kuangalia muitikio wa wananchi kwenye mikutano ya wapinzani (CHADEMA na ACT WAZALENDO).

Kwahiyo, ni jukumu la viongozi upinzani nao kuwa na mpaka mkakati wa kukabiliana na hujuma za aina hiyo kama zitatokea.

Kwa sasa, nkakati mojawapo uwe ni kutumia hii mikutano inayoendelea kuwaandaa wananchi kisaikolojia juu ya uwezekano wa mambo haya kutokea.
 
JWTZ ni Jeshi la Wananchi. Sio Jeshi la Watawala.
 
Hiyo kampeni itakuwa sio nchi nzima maana huku kwetu tumetulia hatuna habari ya kampeni ya NO REFORM

Vijana naona wapo bize na habari za soka na kubeti

Hii habari nakutana nayo mtandaoni lakini huku mtaani kwetu pametulia tuli
 
Unajizima data!!!
 
Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.

Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.

Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
 
Saaa watatofautisha vipi waandamanaji na wapiga kura?

Huo ni polisi na majeshi ndio watazuia uchaguzi usifanyike indirect?
 
Unajizima data!!!
Mkuu kuna sehemu nyingine usipoingia mtandaoni, kusikiliza redio au kuangalia taarifa ya habari

Unapitwa na mengi mnooo kwa sababu watu hawaongelei siasa bali Simba na Yanga na kubeti basi, hadi inasikitisha
 
Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.

Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.

Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
Jeshi hili limetuangusha sana Zanzibar Enzi za Seif. Limebadilika lini?

Muhimu ni wapenda mabadiliko kujitoa kufa na kupona kupata mabadiliko ya kweli.
 
Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.

Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.

Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
Sio kwa Tanzania ambapo CDF anateuliwa na Rais
 
Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.

Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.

Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
Hahahaha nchi gani hiyo?
 
Back
Top Bottom