Utabiri: Siku ya uchaguzi, mbali na Polisi, watasambaza pia wanajeshi vituoni na mitaani wakiwa na mitutu ya bunduki

Utabiri: Siku ya uchaguzi, mbali na Polisi, watasambaza pia wanajeshi vituoni na mitaani wakiwa na mitutu ya bunduki

Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.

Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION.

Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa vyama vyote mpaka wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi.

Kwa sasa wanapima upepo na kuangalia muitikio wa wananchi kwenye mikutano ya wapinzani (CHADEMA na ACT WAZALENDO).

Kwahiyo, ni jukumu la viongozi upinzani nao kuwa na mpaka mkakati wa kukabiliana na hujuma za aina hiyo kama zitatokea.

Kwa sasa, nkakati mojawapo uwe ni kutumia hii mikutano inayoendelea kuwaandaa wananchi kisaikolojia juu ya uwezekano wa mambo haya kutokea.
Itakuwa vizuri, hakuna JW atakayekubali box la kura bandia liingie wala kutoka kituoni, itakuwa safi sana!!
 
Sasa tatizo la wananchi wa huko kwenu kutokujua kinachoendelea ndani ya nchi yao sio tatizo la cdm. Yaani unajivunia ujinga wa huko kwenu, na unaona ni sifa ya maana huko kwenu?!
Ni tatizo la Chadema haijajisambaza nchi nzima

Mkuu unatumia ubongo kweli yaani hili haulioni kama tatizo la Chama kujitangaza?
 
Ni tatizo la Chadema haijajisambaza nchi nzima

Mkuu unatumia ubongo kweli yaani hili haulioni kama tatizo la Chama kujitangaza?
Hatuna muda na mapeasant, nyie endeleeni kunywa maji na mifugo maana mtatuchelewesha. Kura zenu wapeni ccm ndio wanahitaji watu waliochoka. Kama vipi uwe unawapa simu yako wasome habari za wakati.
 
Back
Top Bottom