Salary Slip
Platinum Member
- Apr 3, 2012
- 52,828
- 165,667
JWTZ ni Jeshi la Wananchi. Sio Jeshi la Watawala.Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.
Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION.
Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa vyama vyote mpaka wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi.
Kwa sasa wanapima upepo na kuangalia muitikio wa wananchi kwenye mikutano ya wapinzani (CHADEMA na ACT WAZALENDO).
Kwahiyo, ni jukumu la viongozi upinzani nao kuwa na mpaka mkakati wa kukabiliana na hujuma za aina hiyo kama zitatokea.
Kwa sasa, nkakati mojawapo uwe ni kutumia hii mikutano inayoendelea kuwaandaa wananchi kisaikolojia juu ya uwezekano wa mambo haya kutokea.
Hawana ushawishi wowote kwa sasa, badala yake, kutumia majeshi ndio option pekee waliyobaki nayo.Yetu macho na masikio
Ndicho wanachoweza.Zanzibar hadi vifaru mitaani vishaingizwa.
Unajizima data!!!Hiyo kampeni itakuwa sio nchi nzima maana huku kwetu tumetulia hatuna habari ya kampeni ya NO REFORM
Vijana naona wapo bize na habari za soka na kubeti
Hii habari nakutana nayo mtandaoni lakini huku mtaani kwetu pametulia tuli
Uko sahihi kabisa.Dawa ni kujipanga mapema na wananchi watambue hili mapema.Na siku hiyo internet nchini Tanzania itazimwa
Mkuu kuna sehemu nyingine usipoingia mtandaoni, kusikiliza redio au kuangalia taarifa ya habariUnajizima data!!!
Jeshi hili limetuangusha sana Zanzibar Enzi za Seif. Limebadilika lini?Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.
Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.
Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
Sio kwa Tanzania ambapo CDF anateuliwa na RaisTutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.
Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.
Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
Hakika.Jeshi hili limetuangusha sana Zanzibar Enzi za Seif. Limebadilika lini?
Muhimu ni wapenda mabadiliko kujitoa kufa na kupona kupata mabadiliko ya kweli.
Hahahaha nchi gani hiyo?Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.
Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.
Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
Hata Misri CDF aliteuliwa na Hosni MbarakSio kwa Tanzania ambapo CDF anateuliwa na Rais
Tofauti ya Tanzania na Misri ni uchawaHata Misri CDF aliteuliwa na Hosni Mbarak