Benny Haraba
JF-Expert Member
- Dec 7, 2012
- 15,670
- 14,647
Uzuri jesheni kuna wanasiasa nguli kuliko walioko CCMJWTZ ni Jeshi la Wananchi. Sio Jeshi la Watawala.
Kama No Reform, No Election mnatarajia kuzuia siku ya Uchaguzi Mkuu, basi hiyo imeeenda! Hakuna tena cha No Reform, No Election! Period!Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.
Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION.
Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa vyama vyote mpaka wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi.
Kwa sasa wanapima upepo na kuangalia muitikio wa wananchi kwenye mikutano ya wapinzani (CHADEMA na ACT WAZALENDO).
Kwahiyo, ni jukumu la viongozi upinzani nao kuwa na mpaka mkakati wa kukabiliana na hujuma za aina hiyo kama zitatokea.
Kwa sasa, nkakati mojawapo uwe ni kutumia hii mikutano inayoendelea kuwaandaa wananchi kisaikolojia juu ya uwezekano wa mambo haya kutokea.
Mkuu Lord denning jeshi siasa pia ipo na wanajeshi wanalazimishwa kutii na kukipigia kura chama tawala ambacho Amiri jeshi mkuu ni bosi wao. Jeshini ni kubaya zaidi kisiasa sababu ukiwa mwanajeshi na unahoji hoji au unaonekana upo neutral au ku support hoja za upinzani unapewa kesi ya uasi ambayo ukipelekwa Court marshal( mahakama ya jeshi) huchomoki.JWTZ ni Jeshi la Wananchi. Sio Jeshi la Watawala.
It's very simple. Wanajeshi wakumbushwe tu historia ya kuanzisha JWTZ. Wakijua ilikuwaje hadi tukawa na JWTZ watasimama upande wa Wananchi.Mkuu Lord denning jeshi siasa pia ipo na wanajeshi wanalazimishwa kutii na kukipigia kura chama tawala ambacho Amiri jeshi mkuu ni bosi wao. Jeshini ni kubaya zaidi kisiasa sababu ukiwa mwanajeshi na unahoji hoji au unaonekana upo neutral au ku support hoja za upinzani unapewa kesi ya uasi ambayo ukipelekwa Court marshal( mahakama ya jeshi) huchomoki.
Pia vituo vya kura jeshini vinasimamiwa na wenyewe na matokeo wanatoa wenyewe kwa hiyo there is no way out kituo cha kupigia kura mfano KJxyz matokeo yake yaonyeshe kura za Amiri jeshi mkuu wao kupitwa na upinzani.
Wakati wa upigaji kura kampeni zinafanyika jeshini na wanajeshi wanapigwa mkwala na ma senior wao nyie madogo mkichagua upinzani ikitokea vurugu na machafuko nyie madogo ndio mtaingia vitani sisi wakubwa tutawaangalia tu, unafikiri kwa mikwala au propaganda kama hizo wanajeshi vijana watathubutu kuchagua upinzani?
Nakukumbusha tu tawala zilizopita baada ya Nyerere Kuna kipindi wanajeshi walilalamikia masilahi yao ilipifika karibu na uchaguzi walipandishiwa mishahara, marupurupu na baadhi ya maafisa wa juu walipewa magari ya mikopo sawa na Bure enzi za TZJ pick up nyekundu.
Kwa muktadha huo CCM ni chama cha JWTZ, TISS, polisi, magereza na sio chama cha wananchi na JWTZ lilikuwa jeshi la wananchi ila kwa sasa limekuwa jeshi la chama tawala.
Siku hizi baadhi yao nao wamekuwa sehemu ya huo uchafu.JWTZ ni Jeshi la Wananchi. Sio Jeshi la Watawala.
Sasa tatizo la wananchi wa huko kwenu kutokujua kinachoendelea ndani ya nchi yao sio tatizo la cdm. Yaani unajivunia ujinga wa huko kwenu, na unaona ni sifa ya maana huko kwenu?!Mkuu kuna sehemu nyingine usipoingia mtandaoni, kusikiliza redio au kuangalia taarifa ya habari
Unapitwa na mengi mnooo kwa sababu watu hawaongelei siasa bali Simba na Yanga na kubeti basi, hadi inasikitisha
Hakika kabisa, umenena vyema sana.It's very simple. Wanajeshi wakumbushwe tu historia ya kuanzisha JWTZ. Wakijua ilikuwaje hadi tukawa na JWTZ watasimama upande wa Wananchi.
Uzuri Jeshini kuna watu smart sana tofauti na TISS. Jeshini vijana wengi ni wasomi na wanapelekwa sana kozi maeneo mengi nje ya nchi tofauti na TISS so lazima watakuwa wanajua mchango wa Jeshi katika kusimamia mabadiliko ya kweli.
Uzuri siasa mbaya na chafu haziathiri Wananchi tu, zinaathiri hadi Wanajeshi ambao nao pia wana watoto ambao kutokana na Uongozi mbovu wanaishiq kuwa bodaboda kwa kukosa ajira.
Uzuri wanajeshi pia wanapita barabara hizi mbovu zinazojengwa chini ya kiwango kutokana na Rushwa za Viongozi wa CCM.
Kama Wanajeshi walimfanya Nyerere akimbie ikulu mwaka 1964. Hata sasa wanaweza kuwafanya CCM kuheshimu matakwa ya Wananchi.
Mkuu, hao polisi ni watoto wetu na ndugu zetu hawana kosa bali wao wanatumwa au kupokea amri na maelekezo kutoka kwa watawala.Sisi tumeshapanga tutengeneze mabomu ya petroli ambapo policcm watakuja kupiga watu bila ya kosa kisa kuifanya ccm ishinde tuwaripulie.
Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.
Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.
Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyi
Ccm wakiwaingiza wanajeshi kwenye siasa za uchaguzi, kutasababisha machafuko majeshini na serikali kupinduliwa!! Kumbuka hao raia ni ndugu na hawa polisi na wanajeshi!Kwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.
Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION.
Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa vyama vyote mpaka wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi.
Kwa sasa wanapima upepo na kuangalia muitikio wa wananchi kwenye mikutano ya wapinzani (CHADEMA na ACT WAZALENDO).
Kwahiyo, ni jukumu la viongozi upinzani nao kuwa na mpaka mkakati wa kukabiliana na hujuma za aina hiyo kama zitatokea.
Kwa sasa, nkakati mojawapo uwe ni kutumia hii mikutano inayoendelea kuwaandaa wananchi kisaikolojia juu ya uwezekano wa mambo haya kutokea.
Sasa nani atakae enda kupiga kura kwa mazingira hayoJWTZ ni Jeshi la Wananchi. Sio Jeshi la Watawala.
JWTZ ni Jeshi la Wananchi. Sio Jeshi la Watawala.
Huko kuna mbulula tupu😅😅😅Hiyo kampeni itakuwa sio nchi nzima maana huku kwetu tumetulia hatuna habari ya kampeni ya NO REFORM
Vijana naona wapo bize na habari za soka na kubeti
Hii habari nakutana nayo mtandaoni lakini huku mtaani kwetu pametulia tuli
Ikawe hivyo🙏Tutawakumbusha Wanajeshi wetu Jeshi lao lilianzishwa baada ya maamuzi shupavu ya Wenzao yaliyofanyika mwaka 1964.
Tutawaeleza Wanajeshi Wasimame na Wananchi maana wao ni Jeshi la Wananchi na Sio Jeshi la Watawala.
Yatatokea ya Misri ambapo Wanajeshi waliwaambia wananchi endeleeni na maandamano sisi tunawalinda nyie.
Wapo mgambo, JKT, na sisi raia wema, watupatie marungu tuKwa mtazamo wangu, hiki ndio kitakwenda kutokea ili kutisha wananchi wasiandamane kwa lengo la kuzuia/kukwamisha uchaguzi.
Hii ndio itakuwa Pan B yao iwapo mipango mingine yote ya kuhujumu kampeni ya. NO REFORMS, NO ELECTION.
Uwezekano mwingine ni kupiga marufuku mikutano yoyote ya kisiasa kwa vyama vyote mpaka wakati wa kuanza kwa kampeni za Uchaguzi.
Kwa sasa wanapima upepo na kuangalia muitikio wa wananchi kwenye mikutano ya wapinzani (CHADEMA na ACT WAZALENDO).
Kwahiyo, ni jukumu la viongozi upinzani nao kuwa na mpaka mkakati wa kukabiliana na hujuma za aina hiyo kama zitatokea.
Kwa sasa, nkakati mojawapo uwe ni kutumia hii mikutano inayoendelea kuwaandaa wananchi kisaikolojia juu ya uwezekano wa mambo haya kutokea.
Kwa utabiri wako eti eeh!!Na siku hiyo internet nchini Tanzania itazimwa