Utabiri: Siku ya uchaguzi, mbali na Polisi, watasambaza pia wanajeshi vituoni na mitaani wakiwa na mitutu ya bunduki

Itakuwa vizuri, hakuna JW atakayekubali box la kura bandia liingie wala kutoka kituoni, itakuwa safi sana!!
 
Sasa tatizo la wananchi wa huko kwenu kutokujua kinachoendelea ndani ya nchi yao sio tatizo la cdm. Yaani unajivunia ujinga wa huko kwenu, na unaona ni sifa ya maana huko kwenu?!
Ni tatizo la Chadema haijajisambaza nchi nzima

Mkuu unatumia ubongo kweli yaani hili haulioni kama tatizo la Chama kujitangaza?
 
Ni tatizo la Chadema haijajisambaza nchi nzima

Mkuu unatumia ubongo kweli yaani hili haulioni kama tatizo la Chama kujitangaza?
Hatuna muda na mapeasant, nyie endeleeni kunywa maji na mifugo maana mtatuchelewesha. Kura zenu wapeni ccm ndio wanahitaji watu waliochoka. Kama vipi uwe unawapa simu yako wasome habari za wakati.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…