Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba kikosi Cha Yanga nikioneBlack hahahaaa
Poa mwanangu wa Faida bhana nielekeze tu kabla sijajongea gemu yetu na wale Wazulu..Hahahahahahaaaa hujuihujuui usingeandika hapo juu ....wacha tukuelekeze less than na greater than...
Mpwa wale jamaa wanamilikia sana mpira kila nikiangalia hiyo sare sijui tunaitolea wapi ila kwa kuwa na wao wanatuogopa/ wanatuheshimu lolote linaweza kutokea sema maombi ni muhimu sana...Mpwa ukoo nenda na maombi yaan saree yenyewee naionbea lakini siion kinaweza Nuka yakatukuta ya mtani
KWELI NILIONA MAHOJIANO WANASEMA KWELI YANGA TUNAIHESHIMU SANA LOLOTE LAWEZA TOKEA MMH NKASEMA KAZI IPO LEO TUWE NA IMAN MAANA MTANI NDIO KASHAYEYAAA HIVYOMpwa wale jamaa wanamilikia sana mpira kila nikiangalia hiyo sare sijui tunaitolea wapi ila kwa kuwa na wao wanatuogopa/ wanatuheshimu lolote linaweza kutokea sema maombi ni muhimu sana...
Shida mtani waliaminishwa sana na yule Kibwetere wao eti wao wataanza kushangilia goli la tatu wakati hizi mechi matokeo ni goli moja au mbili leo watakua wanashinda wanaomba tupigwe lakini Dua la kuku halimpati mwewe...KWELI NILIONA MAHOJIANO WANASEMA KWELI YANGA TUNAIHESHIMU SANA LOLOTE LAWEZA TOKEA MMH NKASEMA KAZI IPO LEO TUWE NA IMAN MAANA MTANI NDIO KASHAYEYAAA HIVYO
KUNA MASHABIKI WA SIMBA WANATAMANI KUSIWE NA MARUDIANO HAHAHA...
Wapenda vya bure lazima wajae mapema.MPWAA UWANJA WAMEFUNGA TOKA SAA KUMI NA MBILI NYOMI LAKE U MEWAHI KWELI DUH YANGA NOMA
Jay Z na yeyePdidy ana kesi kakimbia.
Naweka mkeka boss kwa hisani yako.DRW HIOOOO
Ukumbuke na sadaka ya passka kesho after game ....Naweka mkeka boss kwa hisani yako.
Japo odds zimegeuka kum-favor Mamelodi tofauti na awali (zilikuwa zinam-favor Yanga). Sasa zinasoma Yanga 2.70 vs Mamelodi 2.67. Draw is likely though.
Pamoja sana mtaalamu. 👍Ukumbuke na sadaka ya passka kesho after game ....
FT YANGA DRW ✓✓✓✓✓✓✓SIMBA ANAFUNGWA ✓✓✓✓✓✓✓Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea
Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.
Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....
Yanga vs mamelody
Ft so far naiona drw dk 90
Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw
Marudio kutakuwa na mshangao kidogo soon ntawajulisha......Miracle happen
Rgds dk pdi
Aiseee we mtu mbaaaaaadd sanaaaa yaaaaani!Mungu mwema ataifanya njia 0713458722 ngoja nisome suratt drw