Lord Delamere in Kenya
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 3,988
- 8,021
Zamalek mwaka 2003 hawakuwa na faida ya goli la ugenini?Ahly wana faida ya goli la ugenini.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Zamalek mwaka 2003 hawakuwa na faida ya goli la ugenini?Ahly wana faida ya goli la ugenini.
Yanga iliyofika fainali ya shirikisho Afrika, iwe ni miujiza kuifunga Mamelod?Yanga kuitoa Mamelodi hautakuwa muujiza? Kwamba Africa itaona ni jambo la kawaida Yanga kuwatoa Mamelodi? Hauko sahihi.
Sasa nimejua naongea na kichaa. Uliwahi kuona kocha mwenye akili akaongea kauli ya kuwadharau wapinzani wake hata kama anajua wana uwezo ndogo? Labda kama hana akili kama wewe.Yanga iliyofika fainali ya shirikisho Afrika, iwe ni miujiza kuifunga Mamelod?
Kwani Mamelod wao ni akina nani?
Ulimsikia kocha wa Mamelod? Alisema wanawaheshimu sana Yanga.
Kwa hiyo wewe unadhani hiyo kauli ya kuwaheshimu Yanga aliisema kama geresha au ni kweli wanaiheshimu, ukizingatia kwmb mwaka jana imefika fainali ya shirikisho Afrika?Sasa nimejua naongea na kichaa. Uliwahi kuona kocha mwenye akili akaongea kauli ya kuwadharau wapinzani wake hata kama anajua wana uwezo ndogo? Labda kama hana akili kama wewe.
Alilolifanya kocha wa Mamelodi kocha yeyote mwenye akili zake timamu angesema vile vile. Kwenye soka hawasemani kwa shit kama kwenye ndondi.
What if Simba angeshinda?Goli chini ya 3, huo ni utabiri au ujinga? Ni sawa na kusema unatabiri saa 4 ni baada ya saa 3, crazy
Kwenye soka, kanuni ni kumheshimu kila mpinzani wako unayekutana naye. So anaiheshimu Yanga, kama ambavyo angeiheshimu JKT Ruvu kama nayo ingekuwa kwenye michuano hiyo.Kwa hiyo wewe unadhani hiyo kauli ya kuwaheshimu Yanga aliisema kama geresha au ni kweli wanaiheshimu, ukizingatia kwmb mwaka jana imefika fainali ya shirikisho Afrika?
Huyo kichwa tofali yeye ameshindwa kutabiri kwa usahihi matokeo ya weekend, ila yuko hapa kumponda aliyetabiri kwa usahihi.What if Simba angeshinda?
Huoni kutabiri atafungwa kisha akafungwa kweli huo tayari ni utabiri mzuri hata bila kutaja idadi ya goals?
Pdidy tupe utabiri wa mechi za marudianoSio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea
Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.
Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....
Yanga vs mamelody
Ft so far naiona drw dk 90
Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw
Marudio kutakuwa na mshangao kidogo soon ntawajulisha......Miracle happen
Rgds dk pdi
unatumia taaluma gani, ya upande wa giza ama upande wa nuru.NIKUMBUSHE TAR 4 NTALETA HAPA MKUU
SO FAR SIMBA ANAFUNGWA MAGOLI 3 NK
YANGA ALIKUWA ANAFUNGWA MPAKA JANA LEO NAIONA DRW YA MAGOLI
NTAKUJUZA KAMA KUNA TOFAUTI TAR 4 APR
Mkuu hukuona vizuri hadi mwisho, ile ndoto ilipoisha kwako iliendelea kwangu, niliona baada ya simba kufungwa goli tatu na Al Ahly huko Cairo , walipata goli moja ila VAR ilisema ni offside, hivyo mpira uliisha 3-0!Mimi niliota simba inacheza na timu yenye jezi nyekundu. Simba akafungwa 3 kwa moja tena goli la 3 linafungwa dakika za mwishoni kabsa
WALEEE MKUUU SOLN N SULLUHU YA MAGOLI HAKUNA PENALTY..WAENDETUKITOKA DRW YA MAGOLI BIASHARA IMEISHAMkuu hukuona vizuri hadi mwisho, ile ndoto ilipoisha kwako iliendelea kwangu, niliona baada ya simba kufungwa goli tatu na Al Ahly huko Cairo , walipata goli moja ila VAR ilisema ni offside, hivyo mpira uliisha 3-0!
Ila hakuna mshangao kibonde Simba huishia robo fainali miaka yote.
Timu yenye saprais ni Yanga, iwapo Aucho na Pacome watacheza mechi itakuwa ngumu kwa Mamelodi, Ila ushauri Yanga wanapaswa kucheza kwa heshima Mamelodi wakubwa kinachotakiwa tukabe sana dakika 30 za mwanzo kila kipindi na kushambulia dkk 15 za mwisho kila kipindi, kinachotakiwa tusifungwe tu, tutoe suluhu tukauane kwenye penati!! Tukifunguka tumekwisha!!
Sijakuona kwenye hiyo thread boss.ZA LEO NAZMWAGA THREAD YETU PENDWA KULE MDA S MREFU
Hahaaaaa jamaa anawaset hapa JF na ameweka namba yake ya simu huku akitumia ID zake 2 kujijibu, moja ikionesha ametumiwa muamala na nyingine akijijibu. Mjini shule.H
Sasa wewe unataka udanganye watu kwamba ni mshangao sana wakati ni common sense tu, Simba atatolewa na Yanga atapita.
Unataka uzingue watu eti kuna miracle, acha kujifunza utapeli dogo.
Anajifanya mganga eti 'kuna miracle itatokea'! Miracle my foot.Hahaaaaa jamaa anawaset hapa JF na ameweka namba yake ya simu huku akitumia ID zake 2 kujijibu, moja ikionesha ametumiwa muamala na nyingine akijijibu. Mjini shule.
Avatar yako imenikumbusha Mtunzi wa Kitabu muhimu sana (Fundamentals of Engineering Science) nilichokisoma nikiwa Technical Secondary School (O-Level). Kitabu kilikuwa kimetulia sana kiasi kwamba ukienda A-Level kwenye Physics unateleza tu.What if Simba angeshinda?
Huoni kutabiri atafungwa kisha akafungwa kweli huo tayari ni utabiri mzuri hata bila kutaja idadi ya goals?
AiseeeeeSio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea
Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.
Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....
Yanga vs mamelody
Ft so far naiona drw dk 90
Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw
Marudio kutakuwa na mshangao kidogo soon ntawajulisha......Miracle happen
Rgds dk pdi