Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea

Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.

Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....

Yanga vs mamelody

Ft so far naiona drw dk 90

Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw

Marudio kutakuwa na mshangao kidogo soon ntawajulisha......Miracle happen

Rgds dk pdi
Hakuna mshangao wowote hapo ndugu.

Kwa mtu anaefikiria vizuri iko wazi..,

Simba anaenda kufungwa, Yanga ataenda kutoa sare na atapita kwa faida ya goli la ugenini.

Miracle hapo ni kitu gani?
 
H

Sasa wewe unataka udanganye watu kwamba ni mshangao sana wakati ni common sense tu, Simba atatolewa na Yanga atapita.

Unataka uzingue watu eti kuna miracle, acha kujifunza utapeli dogo.
Simba kufungwa siyo ajabu, ila Yanga kufuzu kule South isiwe miracle? Unashangaza kweli.
 
Tapeli babakoooo mjinga wewe huna cha KUANDIKA unaandika mkojo
Mmh!

Watoto bhana tunatakiwa tuwasamehe bure tu, maana hata sisi tulipitia hiki kipindi cha ujana wa kukosa adabu, Na tulisamehewa.

Najua unapitia kwny kipindi cha foolish age.

So usijali, utakuwa na busara tu umri ukifika.
 
H

Sasa wewe unataka udanganye watu kwamba ni mshangao sana wakati ni common sense tu, Simba atatolewa na Yanga atapita.

Unataka uzingue watu eti kuna miracle, acha kujifunza utapeli dogo.
Yanga kuitoa Mamelodi hautakuwa muujiza? Kwamba Africa itaona ni jambo la kawaida Yanga kuwatoa Mamelodi? Hauko sahihi.
 
Sio kwa niambaya nimeonyeshwa watu wasiumie sana na yanayoenda kutokea

Mechi ya SIMBA vs Al AHLY
SIMBA ATAFUNGWA hii mechi GOLI CHINI ya tatu.

Pona ya SIMBA kudrw ni Red card....

Yanga vs mamelody

Ft so far naiona drw dk 90

Either kuna red card ama lah mpaka sasa ft draw

Marudio kutakuwa na mshangao kidogo soon ntawajulisha......Miracle happen

Rgds dk pdi

Goli chini ya 3, huo ni utabiri au ujinga? Ni sawa na kusema unatabiri saa 4 ni baada ya saa 3, crazy
 
Hongera
 
Goli chini ya 3, huo ni utabiri au ujinga? Ni sawa na kusema unatabiri saa 4 ni baada ya saa 3, crazy
Oya, msijitie umwamba kwenye nyuzi za watu. Kwanini wewe hukuweka utabiri wako? Halafu pia, kwanini hao 'wajuaji' wenzako walioweka utabiri wao almost wote wameangukia pua isipokuwa mmoja Pdidy?

Huwa hamuwezi kupongeza pale mwingine anapofanya kitu sahihi?
 
Back
Top Bottom