Utabiri: Simba Vs A Ahly, Simba atafungwa goli chini ya 3 Yanga atapata sare

DK PDIDY
angalia saliooooooo MAMELODY ntakukumbuka daimaaa kha si kwa MATESOO ya Leo ya timu Yangu
 
Aiseee we mtu mbaaaaaadd sanaaaa yaaaaani!

Nyuzi zako huwa nazifatilia sana tangu 2021. Na mara nyingi zinakuwa sahihi sana. Ila nasikitika kwanini sikuzingatia utabiri wako kwa mechi ya Simba vs Al Ahly hadi nikapuyanga.
Mpangoo Ya Mungu tusubiri MARUDIANO
YANGA ANAFUNGWA 2-0/2-1/3-0
SIMBA ANAFUNGWA KUANZIA BAO 3 NK
 
Gazeti za keshoo

YANGA ysalimika. .
yaponea chupuchupu
wanafiki KWELI shinda ujue sifa zao


 
Daah mpira umekushinda Brother Al walivyo Unga vile hizo goli tatu wanazitoa wapi watu wanasafiri na sahani na mapipa kama enzi za kina Jim Mored au Stiven Nemes..
rudia kusoma huu mchango wako alafu changia tena
 
Umetisha mzee baba
 
DK za mwisho ilibidi nikumbuke maombi ya tb Joshua bk to sender wakatulia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…