Pablo Blanco
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 7,328
- 6,638
huyo mzee aliingia kwenye 18 za GWAJIMA.GWAJIMA akapiga maombi jamaa akakata moto
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Gwajima huyu huyu mshirikina?huyo mzee aliingia kwenye 18 za GWAJIMA.GWAJIMA akapiga maombi jamaa akakata moto
Ethics haziruhusu. Hata madaktari hawaruhusiwi hata kutibu relatives wao. Na ndio maana na waganga wa kienyeji kuwatafutia watu dawa za utajiri lakini wao hubakia maskini.Sasa mbona alishindwa kujitabiria kifo chake?
Mbona alitabiri kifo chake akataja mwakà na mwezi siku ndo hakusemaAlishindwa kutabiri kifo chake na namna ambavyo angetimliwa toka kwenye ulaji BAKWATA.
Kweli nakumbuka kabisaakifo chake alitabiri, na ukitaka kujua hili alianza na kumuandaa mwanae kwa kumpeleka kwenye vipindi vyake radioni na pia alitabiri kifo chake kwa namna ya ajabu (isiyokubalika kidini) alisema: Tarehe fulani(alitaja jina) itakuwa kiama, kama si kiama basi mimi ntakufa, HILI HALIKUWA ZURI KIDINI
Nakweli ndio siku alokufa mwenyewe, jamaa alikiwa vizuri kwenye utabiri japo mimi sio muumini wa mambo hayo
Interesting! Una maana ya kuwa hata mama Samia naye atatutoka baada ya kuteua makamu wa rais mwingine? Don't tell me that!! Tunahitaji uongozi wake sasa more than ever!Humu nishakuta uzi wa 2020 mtu akisema rais atakufa na vp atakua rais ila kwa muda mfupi kisha atakua mwingine.
Nishakuta uzi wa 2018 ukisema mtarudi hapa kukoment kwa furaha.
Leo bwana Yahya kuna uzi wake wa kutabiri uongozi wa kipindi kifupi.
Mbona kama vile watu walilijua hili kuanzia mwanzo? Was it so obvious?
View attachment 1730612
Gwajiboy alimwambia hato maliza ule mwaka.huyo mzee aliingia kwenye 18 za GWAJIMA.GWAJIMA akapiga maombi jamaa akakata moto
[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ulimsikia na wewe kumbeGwajiboy alimwambia hato maliza ule mwaka.
Wewe dini huijui watabiri wengi ni wasomi wakubwa wa dini ya kiislamKuamini katika mambo ya utabiri ni moja ya makosa makubwa ya kishirikina kwa mujibu wa Imani ya kiislam
(A)--Alitabiri Simba atafungwa na yanga matokeo yake ikawa tofauti.Basi sawa...kuna kingine tena alichotabiri tukitarajie?
Ndio mkuu[emoji1][emoji1][emoji1][emoji1][emoji1] ulimsikia na wewe kumbe
Uongo mtupu. Leteni huo ukurasa wa Hilo gazeti tuusome. Sio kutuketea ngonjera hapa baada ya kuwa tukio limeshatokea halaf ndo museme utabiri. Hakuna utabiri Kama huoNimesoma hii article pale kwenya magazeti ya Shigongo, ikanishtua kwa vile inaoneka utabiri wake ulikuwa kweli kabisa. je ni coincidence tu au ni kweli alikuwa anajua kupiga mahesabu ya kuona mbele? Najua kuwa aliwahi kutabiri kuwa mtu yeyote atakayechukua formu kumpiga Kikwete mwaka 2010 angekufa ghafla, watu ndani ya CCM ambao walikuwa wameshapanga mkakati wa kumng'oa Kiwkete mwaka 2010 wakaa kimya kabisa.
ALIYEKUWA Mtabiri maarufu Afrika Mashariki, Shehe Yahya Hussein aliitisha mkutano wa wahariri na waandishi wa habari mwaka 2006 na kuzungumzia utawala wa Rais Jakaya Kikwete ukiwa na umri wa mwaka mmoja tu.
Baada ya kuzungumza hayo nilipata nafasi ya kumuuliza. Je Tanzania baada ya Kikwete inaweza kupata rais mwanamke?
Shehe Yahya alinijibu:
“Baada ya vipindi viwili vya Rais Kikwete atakuja rais ambaye ni mweusi mchapa kazi lakini mchekeshaji sana, hata hivyo atatawaka kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata rais mwanamke.”
Wahariri na waandishi waliguna kuonesha kutokubaliana naye wakiwemo wahariri wakongwe Hemedi Kimwaga, Yasini Sadiki, Magnus Mahenge na wengine ambao siwezi kuwakumbuka.
Shehe Yahya baada ya kuona tunambishia alichukua ubao kama ule wa darasani na mkononi alishika kutabu kilichoandikwa Astrology: Monthly numerology, akaanza kufanya hesabu kwa fomula anazojua yeye na akatuambia kwamba kwa Jakaya inaonesha atamaliza muda wake wa miaka kumi na lakini ajaye ataongoza kwa kipindi kifupi.
Tulimuuliza ataongoza kwa muda mfupi kwa sababu gani, alisema hayo mengine yeye hawezi kujua lakini akasisitiza kwamba hivyo ndivyo itakavyokuwa. Tulitawanyika pale kila mmoja akiwa anaona kama amepigwa ‘changa la macho’.
Lakini sasa nimeng’amua kwamba kumbe alikuwa akimtabiria mama Samia bila yeye mama kujua tulichokuwa tunafanya.
HAKIKA SHEHE YAHYA ALIKUWA MNAJIMU WA KWELI.
Kumbuka haya yanatokea baada ya miaka 15 ya utabiri wake na mtabiri akiwa katangulia mbele za haki. Sheh Yahya alifariki mwaka 2011. Mungu ampe raha ya milele na amnusuru na adhabu ya kaburini.