Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Time comeSasa tufanyaje?
Time comeSasa tufanyaje?
Hili linafahamika ila watu wanapindisha ukweliCDM haijasusia uchaguzi wala haijapanga kufanya machafuko.CDM ni chama cha siasa na chama cha siasa ni mali ya wananchi.Je wwananchi wanaweza wakajifanyia vurugu ili iweje.Chaguzi kwa sasa hapa nchini kwetu haziwezekani huo ndiyo ukweli halisi.na hakuna mtu yoyote ambaye hana maslai ya moja kwa moja na huu uchaguzi atajisumbua kwenda kupanga fuleni kupiga kura.Mimi nimeshieiki chaguzi toka 2000 ila uchaguzi wa serikali za mitaaa 2024 ulidorola sana nimekwenda kwenye kupiga kura saa nne sikukuta mtu hata mmoja nikatafuta jina langu sikuliona jamaa yule anayesimamia akaja nje tukatafuta wote , Akanipa makaratasi ya kupiga kura nikapiga mpaka naondoka hakuna mtu nyuma yangu.mpaka nikashabgaa wakati wa miaka ya nyuma uchaguzi wa serikali za mitaa ulikuwa na shamra shamra kuliko uchaguzi mkuu,vijana walikuwa wanajitokeza kwa wingi kupiga kura vituo saa kumi na mbili watu tayari wamepanga foleni mpaka jioni bado mistari ni mirefu.lakini safari hii nimeshangaa sana wala sijuona wakala wa chama chichote pale nilipo pigia kura.
Lini wamejitoa? Wao watashiriki endapo tu reforms zitafanyika ili uchaguzi uwe free and fairSijawahi kuona watu wajinga kama chadema, yaani mnapanga kuchukua nchi wakati lichama lenu limesisia uchaguzi. Naona hapa mnashabikia utabiri bila kujua kuwa chama kimewithdraw election. Na mmepangaufanya machafuko. Mjipange 30e0 labda mtafanikisha, ila kipindi hiki kwakweli msahau kuchukua dola. Na katila kujipanga mgombea asiwe huyu chizi mnayemwiya mwenykiti actvist hajawahi kuwa kiongozi hata siku moja
Sasa hadi mtaalamu yamemshinda mkuu bado unasubiri liwike tena😅Wacha tuone kama litawika😀
..labda mpaka 2030/31Lini wamejitoa? Wao watashiriki endapo tu reforms zitafanyika ili uchaguzi uwe free and fair
kama ni mizimu ina anza kututabiria maisha yetu Tanzania Namuombea kwa Mungu Samia Apite atuepushie na hizi Roho Za kizimu... Weka Mungu Mbele Mizimu ya Nini?Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Je Mipango ya Mwenyezi Mungu inafunuliwa Kwa Mizimu? na je Maisha yetu yanatabiriwa na Mizimu? CCM hapaswi kubaki madarakani ila sipaswi kuamini Mizimu zaidi Ya Neno La MunguWakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako
Sio wote wanaopenda Mabadiliko wanaamini Juu ya Mizimu ya shekh.. Hapana Kama Binadamu nilipewa Akili na kuumbwa kwa mfano wa Allah siezi kuamini Mizimu initabirie hata kama Nataka CCM itoke madarakani, Mungu ndio wakutupa hio nguvu tusimame na kupambana sio tabiri za Mizimu,Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Ni kweli ila tunayoona kwa chama tawala hofu yao inaweza kuchagizwa na mzimu wa utabiri wa huyu Sheikh Yahya🤣Sio wote wanaopenda Mabadiliko wanaamini Juu ya Mizimu ya shekh.. Hapana Kama Binadamu nilipewa Akili na kuumbwa kwa mfano wa Allah siezi kuamini Mizimu initabirie hata kama Nataka CCM itoke madarakani, Mungu ndio wakutupa hio nguvu tusimame na kupambana sio tabiri za Mizimu,
Tufikirie ni kina nani Wanafaidika Na Uongozi Wa CCM pengine Ccm anaeza asiwajibike kwa Chochote Vyombo vya dola wanavyofanya.... Lazima Kuna kikundi cha watu wenye Ela nyingi na Nguvu ya ela Ya kuwaeka CCM madarakani na Huenda Hiko kikundi ndio kinacholipa utekaji, uonevu wa wananchi wanaopinga serekali Ya CCM wanufaikaji wa hiko chama wako wachache na wengine hata hawana cheo chochote cha serekalini ila wanapewa kipaumbele na Serekali... hata marekani kipo kikundi kinaitwa AIPAC kinahusika na kuakikisha Raisi ataoingia madarakni America hatochochea uhusiano mbaya kati ya Americans na israels... Je Mashirika kama IMF,WB wanaweza kufurahi kutokea mabadiliko ya kisiasa hapa nchi angali wamekuwa wakitunyonya kupitia serekali hii CCM tokea walipoanzisha mahusiano yao na hii serekali ya CCM hapana hatapendaWakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Samia anaogopa sana uchaguzi ulio huru na fair, coz anajua hawezi toboa na hata kuelekea uchaguzi huu anatumia same strategy ila ndio hivyo miluzi mingi lazima imchanganye licha ya kujifanya kauzuKosa kubwa lilianzia kwenye uteuzi wa atakaepeperusha bendera kwa CCM. Je utaratibu ulifuatwa?
Nimekupata KiongoziNi kweli ila tunayoona kwa chama tawala hofu yao inaweza kuchagizwa na mzimu wa utabiri wa huyu Sheikh Yahya🤣
Huenda Sio Samia Tuu, Najaribu kuelewa tunadhani hakuna Kikundi chenye matajiri wanufaikaji ambao watatumia nguvu za ela kuakikisha CCM inabaki madarakni? kati ya mambo yanayoitajika kwa wagombeaji hapa nchini ni Ela na Ela hii sio ya hapa nchini tu hata nchi za nje tufikrie nani beberu au Shirika gani kubwa la nje ya nchi limekuwa na CCM tokea Imeanzishwa Hilo shirika au hiko chama... WB,IMF,USAID na mengine wananufaika kwa upana sana kupitia hii serekali Hawawezi kupendekeza hii nchi kuwa na Election za haki kwani endapo atapoingia chama pinzani Mikataba inaeza kugeuzwa na wa Tanzania tukajitegemea kiuchumi kabisa bila kuomba mikopoSamia anaogopa sana uchaguzi ulio huru na fair, coz anajua hawezi toboa na hata kuelekea uchaguzi huu anatumia same strategy ila ndio hivyo miluzi mingi lazima imchanganye licha ya kujifanya kauzu
Duuu il toto kichwa maji kweli, kwani Shekhe uyo mchekeshaji aliyemtabiri alimtaja kwa jina ? Rais mwanamke alimtaja kwa jina ? Sasa iweje useme Lisu hakutabiriwa wakati urabiri haukumtaja Rais. Kwa jina ? Kwani kiongozi wa upinzani yupo Lisu pekeyake?2009 ndo nilikua nafahamiana na Shemeji ako kijana.
Tunza jina lang la JF naitwa 0005 as nakuhakikiahia..... Lissu hakutabiriwa hata Mara moja Wala upinzani, na sheikh kabla hajakata moto tulikua tunamskiza Kila juma tano Kama Sio ijumaa baada ya taarifa ya habari nakumbuka.
Alikua anatoka tabiri nyingi za kuhusu watu mashughuri, michezo, siasa shughuri za kiuchumi, nyota za watu na unajimu kuhusu the way watu walozaliwa tarehe flan flan walipaswa kuish vipi kwa wiki husika.
Kwa misingi hiyo lissu haji kuwa RAIS wa hili taifa ndani ya myaka hii 10 (2025 Hadi 2035)
Kwa ziada nakumbuka miongoni mwa tabiri zilizo mwingiza kwenye misukosuko alitabiri baa la njaa tz mwaka ule wa uchaguzi wa 2010 .. basi Kuna mtumishi anaitwa Mwingira naye akamtabiria kifo badala ya hiyo njaa alotabiri yeye .. naye shekh akakata moto kweli.
Mwingira alikua anaonekana kupitia star TV by then... Saiv ana channel yake inaitwa TRINET au EFATHA TV Kama skosei... kingag'amuzi Cha continental .
Jifunze historia sahihi itakusaidia kufaham Mambo ya kesho sabab kiukweli Mambo hayajirudii lakini yanaendana. (History does not repeat but it happen in rhythm and has rhyme . )
Duuu il toto kichwa maji kweli, kwani Shekhe uyo mchekeshaji aliyemtabiri alimtaja kwa jina ? Rais mwanamke alimtaja kwa jina ? Sasa iweje useme Lisu hakutabiriwa wakati urabiri haukumtaja Rais. Kwa jina ? Kwani kiongozi wa upinzani yupo Lisu pekeyake?
Shida yako wewe una ugonjwa wa kujinyea, ukishajinyea tu basi lazima athari zielekee kwenye Kibibi chako na kikishaomba pooo tu ndio haya sasa unayoyaporomosha.
Mbona mimi sina hasira laiti ningekuwa na hasiri saa hizi ningeshampanda Dada yako.Ukiachana na matusi hapo hakuna hoja yoyote.
Umejaa tu hasira za kiwaki.
Mbona mimi sina hasira laiti ningekuwa na hasiri saa hizi ningeshampanda Dada yako.