Sir mgax
JF-Expert Member
- Dec 10, 2023
- 2,160
- 3,831
Kaka umenena vyema sana...lakini wasipokuwa makini ndani ya 2025_2030 wote watajikuta chini ya tani saba... watu mtaani wamechoka kaka...wanawaroga viongozi kila kukicha.😂Huu unabii not necessarily kwamba utatimia huu mwaka inawezekana ukatimia 2030 maana kuanzia 2025-2030 kuna mambo mengi sana ya ajabu atakayofanya Samia yataghadhabishwata watanzania na ndipo anguko kubwa la CCM litashuhudiwa. Time will tell