Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa huko ikulu kuna nini mpaka kunawafanya watawala wanakuwa vipofu kiasi hiki......kinachoendelea Tanzania ni kujidhalilisha tu mbele ya umma
PUMZI PUMZI PUMZI............LAKINI WANASAHAU WAKIWA HAWANA PUMZI WATALINDWA NA WANYWA GONGO NA WALEVI WA VILOBA...............MWISHO WA TISS NI MAKABURINI.................HAKUNA CHA SECURITY WALA VIEITE
 
Ulikua mdogo CCM Kuna kambi ya R.I.P Lowassa na JK ? Kuna mtu alitoka wazi wazi akapinga Jk ukutenda haki kwenye kupeperusha kiti cha Urais kawaida kwenye G55 ni vijana ambao hata wakifukuzwa wanasaulika kesho
Maumvi alifanya temporary solo non lethal rebellion, CCM haikugawanyika into two warring factions kama ilivyo CDM, Maumvi alivyofeli project yake alirudi kuomba nsamaha CCM.
Tofautisha kambi za muda mfupi kwa uchaguzi wa raisi na hiyo ya kwenu ambayo ni lethal permanent split, ndyo maana hiyo split imefanikiwa kuiua CDM, baada ya uchaguzi chama hakitakuwa relevant tena
 
Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Hakuna marefu yasiyo na ncha.
 
Wamfuate na mwanae,ambae nae ni mtabiri,uenda ana mwendelezo wa huo utabiri uliokua wa baba yake!!
 
Mama alikosea angeachana na Lissu akaendelea na Kampeni zake bila hata kumshika na yeye akaendelea na Kampeni maana uchaguzi ungefanyika vizuri tu hata bila Reforms ila kumkamata Lissu ule ulikua mtego sasa kila mtu amejua uchaguzi kumbe sio huru na haki
Uko sawa kabisa Mkuu
 
Sas

Sasa mbona Umpenic shida nini kwa nini yaishie kwa Rais mwanamke nani hajui kumekua na tabia ya kupunguza vitu watawala wasivyo vipenda?

Umpenic ndo kitu gani kiongozi .. na nyie Jama wa Chadema sera hamna. Na hata maneno mnatuletea.... kwenye lugha za kawaida tuzijuazo hamna.
Vipi nyie Jama ???

Utabiri uliishia hapo. The whole recording is there (quoted) vizuri kabisa. Nenda jamii check mwana JF acha uvivu wa kufatilia Mambo.

Nenda hata Google.
 
Maumvi alifanya temporary solo non lethal rebellion, CCM haikugawanyika into two warring factions kama ilivyo CDM, Maumvi alivyofeli project yake alirudi kuomba nsamaha CCM.
Tofautisha kambi za muda mfupi kwa uchaguzi wa raisi na hiyo ya kwenu ambayo ni lethal permanent split, ndyo maana hiyo split imefanikiwa kuiua CDM, baada ya uchaguzi chama hakitakuwa relevant tena
Vingereza vingi hata havina Pointi😀😀
 
Back
Top Bottom