Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.

Tupeni orginal video
 
Samia ni muumini mkubwa wa VISOMO na UTABIRI...

Huu UTABIRI unamnyima usingizi kabisa. Anashirikiana na Mkwe kuuepuka UTABIRI lakini kadiri wanayotumia nguvu ndivyo UTABIRI unaelekea kutumia!
Wasiwasi tunao sisi mashabiki, kisomo kilishapita kitambo kule Kizimkazi na mambo yapo sawa
 
Mimi natabili kama Samia atalazimisha kuendelea kutawala kwa wizi wa uchaguzi. Hata maliza kipindi cha pili , aibe uchaguzi au asibe vyote ni sawa hakuna kitakacho mpa usalama. Bora akubali kuondoka kwa heshima. Asifikiri Mpango ni mjinga kuamuwa kuacha umakamo kabla hata mda wake. Mwezake kaona mbali kaona salama yake ni kukaa pembeni.
......limekuwa jambo la familia naona Mchengerwa amepagawa kabisa yuko tayari kwa vita akitetea familia.....ni zamu yao na wao.....kazi sanaa Mchngrw ana fikiri ana nguvu zaidi hata ya PM khaaa sawa muda tuuu
 
Mbaya zaidi, hawakujuwa namna nzuri ya kuipoza. Sasa inakwenda kuwamaliza.

CHADEMA walipofanya uchaguzi wa viongozi wao kwa HAKI na uwazi kabisa, kila mtu akiona kilicho fanyika; halafu wakati huo huo, Samia yeye kadhani udanganyifu na ulaghai ndani ya chama chake hautaeleweka kwa wananchi; huo ndio ulioanza kuwa ushahidi wa wazi kabisa kwa waTanzania kuhusu sura halisi ya viongozi wa CCM. Uchafuzi wa serikali za Mitaa ukawa kielelezo halisi cha maandalizi ya Oktoba 2025.
Ni mTanzania gani asiyeweza kuelewa kirahisi kabisa tofauti hizi?

Samia amekwisha julikana kuwa ni mwongo, mwenye ulaghai mwingi. Sasa anapowaambia watu kuwa Oktoba kutakuwepo na uchaguzi "huru na wa haki", hata yeye mwenyewe anajikuta akishangaa kutamka maneno kama hayo.
Itoshe kusema CCM ni wataalamu wa kujizima data, (self-absorbed group)
 
Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
kama hayo mawili yametokea ,kwa nini hili lingine lisitokee?
 
Sas
ACHENI UPUMBAV NYIE WAZEE WA NO REFORMS.

Yahya hakutabiri huo upuuzi mnausema ...

Nenda jamii check (hapahapa Jamii forum)
Ingia kwenye forums ... Utakuta jamii check.
Search utairi wa shekh Yahya.

Utagundua kua hakutabiri hivyo mnavyojidanganya. Maneno ya shekh yaliishoa kwenye RAIS MWANAMKE. Fullstop.
Sasa mbona Umpenic shida nini kwa nini yaishie kwa Rais mwanamke nani hajui kumekua na tabia ya kupunguza vitu watawala wasivyo vipenda?
 
Mimi natabili kama Samia atalazimisha kuendelea kutawala kwa wizi wa uchaguzi. Hata maliza kipindi cha pili , aibe uchaguzi au asibe vyote ni sawa hakuna kitakacho mpa usalama. Bora akubali kuondoka kwa heshima. Asifikiri Mpango ni mjinga kuamuwa kuacha umakamo kabla hata mda wake. Mwezake kaona mbali kaona salama yake ni kukaa pembeni.
Siasa ni sayansi
 
Wapigaji waliwaambia sambaza picha zako nchi nzima wakapiga hela. Nunua na kusambaza pikipiki/bajaj nchi nzima wakapiga hela. Walambishe asali Maafisa wa vyo.bo vya ulinzi na usalama pamoja na baadhi ya Wapinzani bila kusahau ule Mhimili ulionajisiwa majuzi wakapiga hela.

Waliamini katika fedha. Ukiwa nazo hakuna litakaloshindikana. Sasa limeshindikana. Hakuna mkate mgumu kwa chai sasa mkate umekuwa jiwe.

Hapo wataacha kuchanganyikiwa?? Wamemkamata Mh Lissu wakitegemea kundi la kondoo litatawanyika. Wameangukia pua. Hata wakimhukumu kesho kunyongwa SUMU ya NO REFORMS NO ELECTION imeshakolea mpaka kwenye chama chake. Watabaki na chawa wao tu.

Mataifa ya nje yameshamdharau. Viongozi wa Dini wengi wao wamemuweka pembeni. Wataacha kuwa na hasira??
Mama alikosea angeachana na Lissu akaendelea na Kampeni zake bila hata kumshika na yeye akaendelea na Kampeni maana uchaguzi ungefanyika vizuri tu hata bila Reforms ila kumkamata Lissu ule ulikua mtego sasa kila mtu amejua uchaguzi kumbe sio huru na haki
 
Alafu ogopa mtu akitabiri baadae afe huo ubaya ubwela
Ni sawa mganga akuroge au akufanyie kitu fulani ambacho kitamhitaji uwepo wake..Mara kafariki hapo ndipo utajua kwanini Mvua ikinyesha kenge anakimbilia kwenye maji.
 
Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Ngoja tuone
 
Mama alikosea angeachana na Lissu akaendelea na Kampeni zake bila hata kumshika na yeye akaendelea na Kampeni maana uchaguzi ungefanyika vizuri tu hata bila Reforms ila kumkamata Lissu ule ulikua mtego sasa kila mtu amejua uchaguzi kumbe sio huru na haki
Kaka Hofu Kaka Hofu ni mbaya
 
Back
Top Bottom