Bush Dokta
JF-Expert Member
- Apr 11, 2023
- 42,525
- 74,605
Hehehe we jamaa😀😀Alafu ogopa mtu akitabiri baadae afe huo ubaya ubwela
Hehehe we jamaa😀😀Alafu ogopa mtu akitabiri baadae afe huo ubaya ubwela
Ulikua mdogo CCM Kuna kambi ya R.I.P Lowassa na JK ? Kuna mtu alitoka wazi wazi akapinga Jk ukutenda haki kwenye kupeperusha kiti cha Urais kawaida kwenye G55 ni vijana ambao hata wakifukuzwa wanasaulika keshoHiyo ni unreliable crude method ya kupima ushindi, washindani wenu (CCM) wana atleast some realistic data mapema, na ni chama ambacho ni extremely Resilient , na huo ndyo uchawi wa kudumu mchezoni. ndani ya CDM hiyo sifa ya "Resiliency" imekosekana, ndyo maana kimegawanyika, kuna G55 na team TAL, hiyo ni damage kubwa sana kwa chama kikubwa cha upinzani kilichokuwa ni tishio kwa CCM, so damage kubwa imetokea within CDM, kama kawaida yenu tukaneni na kunikejeli ukweli utabaki ni huo, I.e mmejimaliza wenyewe kabla ya kupambana na GOLIATH
Hofu imetamalaki LumumbaKaka Hofu Kaka Hofu ni mbaya
Sio yeye tueWakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Braza umenikumbusha Story ya kuwashwa Mwenge ya kinaAlafu ogopa mtu akitabiri baadae afe huo ubaya ubwela
You are RightLakini ninachokiona uongozi wa Tundu Lissu ni shirikishi zaidi ya ilivyokuwa kwa Mbowe.
Itakuwa ngumu tena kuaminika tena na kupeww hizo nafasiSana halafu amewaharibia sana wanawake wenzake big time kuaminiwa kwenye nafasi kubwa sababu ya tamaa yake ya madaraka..... Alitakiwa aache alama ili awe role model kwa wengine
Sio miaka miwili Kaka ni Chini ya Miezi motatuKwani ndani ya miaka miwili tu kuna viongozi wa ngazi mbalimbali wa Chadema ambao hawakufahamika awali wanasikika na wanaonekana wana uwezo mkubwa.
Kama Mwenyekiti wa Bavicha,Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti,Mwenyekiti wa mkoa wa Mara na Njombe nk.
Wana uwezo mkubwa.
Hakuna huo utabiri acha upotoshajiWakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Pamoja na hayo ht akilazimisha kuingia 🙄kiti kilishamtapikaHofu imetamalaki Lumumba
Upo YouTubeHakuna huo utabiri acha upotoshaji
Acha hofu, October sio mbali😀Hakuna huo utabiri acha upotoshaji
Huyu mwanamke nadhani ana ajenda ya siri na Waarabu hasa ukizingatia ule mkataba wa DP World......Time will tellItakuwa ngumu tena kuaminika tena na kupeww hizo nafasi
Nenda you tube imekuwa popularNaombeni video au audio ya huyo sheikh akiyasema hayo
Umeenda YouTube ? NendaHuo utabiri sidhani kama kweli upo.
Lakini ninachokiona uongozi wa Tundu Lissu ni shirikishi zaidi ya ilivyokuwa kwa Mbowe.
Kwani ndani ya miaka miwili tu kuna viongozi wa ngazi mbalimbali wa Chadema ambao hawakufahamika awali wanasikika na wanaonekana wana uwezo mkubwa.
Kama Mwenyekiti wa Bavicha,Mwenyekiti wa Kanda ya Serengeti,Mwenyekiti wa mkoa wa Mara na Njombe nk.
Wana uwezo mkubwa.
Vile vile hata wanachama wa kawaida wa Chadema wanaonekana wanaelewa vema misimamo ya Lissu kwani wanaielezea vizuri Kabisa.
Mimi mwenyewe nashindwa kuelewa huko ikulu kuna nini mpaka kunawafanya watawala wanakuwa vipofu kiasi hiki......kinachoendelea Tanzania ni kujidhalilisha tu mbele ya ummaKuna kitu kimoja sisi binadamu tukiwa hai tunajiona wajanja sana...............yaani tunajiona mpaka tumemzidi akili aliyetupa pumzi na uhai bureeeeeeeeeeeeeee................bila hata sumni...........umeshakuwa raisi tenda haki uipate pepo ..........mbona ni mtihani mdogo sana ...........unakubali kuishi vibaya kwa ajiri ya kitu kidogo tu..............utafaidika na nini ukute wewe ni wa motoni na hao uliowaachia paradise duniani wanakuja kuwa kuni zako mwenyewe??...............TENDA HAKI UIPATE PEPO ACHA KIBURI
Nenda YouTube na ilivyo ya zamaniTupeni orginal video
Sasa nimeelewa......limekuwa jambo la familia naona Mchengerwa amepagawa kabisa yuko tayari kwa vita akitetea familia.....ni zamu yao na wao.....kazi sanaa Mchngrw ana fikiri ana nguvu zaidi hata ya PM khaaa sawa muda tuuu
Hii ndio hali inawatisha.....bado miezi sita tuAcha hofu, October sio mbali😀