Utabiri wa Sheikh Yahya na hofu kubwa ya Rais Samia na CCM yake upinzani kuchukua nchi

Hili linafahamika ila watu wanapindisha ukweli
 
Lini wamejitoa? Wao watashiriki endapo tu reforms zitafanyika ili uchaguzi uwe free and fair
 
kama ni mizimu ina anza kututabiria maisha yetu Tanzania Namuombea kwa Mungu Samia Apite atuepushie na hizi Roho Za kizimu... Weka Mungu Mbele Mizimu ya Nini?
 
Je Mipango ya Mwenyezi Mungu inafunuliwa Kwa Mizimu? na je Maisha yetu yanatabiriwa na Mizimu? CCM hapaswi kubaki madarakani ila sipaswi kuamini Mizimu zaidi Ya Neno La Mungu
 
Sio wote wanaopenda Mabadiliko wanaamini Juu ya Mizimu ya shekh.. Hapana Kama Binadamu nilipewa Akili na kuumbwa kwa mfano wa Allah siezi kuamini Mizimu initabirie hata kama Nataka CCM itoke madarakani, Mungu ndio wakutupa hio nguvu tusimame na kupambana sio tabiri za Mizimu,
 
Ni kweli ila tunayoona kwa chama tawala hofu yao inaweza kuchagizwa na mzimu wa utabiri wa huyu Sheikh Yahya🤣
 
Tufikirie ni kina nani Wanafaidika Na Uongozi Wa CCM pengine Ccm anaeza asiwajibike kwa Chochote Vyombo vya dola wanavyofanya.... Lazima Kuna kikundi cha watu wenye Ela nyingi na Nguvu ya ela Ya kuwaeka CCM madarakani na Huenda Hiko kikundi ndio kinacholipa utekaji, uonevu wa wananchi wanaopinga serekali Ya CCM wanufaikaji wa hiko chama wako wachache na wengine hata hawana cheo chochote cha serekalini ila wanapewa kipaumbele na Serekali... hata marekani kipo kikundi kinaitwa AIPAC kinahusika na kuakikisha Raisi ataoingia madarakni America hatochochea uhusiano mbaya kati ya Americans na israels... Je Mashirika kama IMF,WB wanaweza kufurahi kutokea mabadiliko ya kisiasa hapa nchi angali wamekuwa wakitunyonya kupitia serekali hii CCM tokea walipoanzisha mahusiano yao na hii serekali ya CCM hapana hatapenda
 
Kosa kubwa lilianzia kwenye uteuzi wa atakaepeperusha bendera kwa CCM. Je utaratibu ulifuatwa?
Samia anaogopa sana uchaguzi ulio huru na fair, coz anajua hawezi toboa na hata kuelekea uchaguzi huu anatumia same strategy ila ndio hivyo miluzi mingi lazima imchanganye licha ya kujifanya kauzu
 
Samia anaogopa sana uchaguzi ulio huru na fair, coz anajua hawezi toboa na hata kuelekea uchaguzi huu anatumia same strategy ila ndio hivyo miluzi mingi lazima imchanganye licha ya kujifanya kauzu
Huenda Sio Samia Tuu, Najaribu kuelewa tunadhani hakuna Kikundi chenye matajiri wanufaikaji ambao watatumia nguvu za ela kuakikisha CCM inabaki madarakni? kati ya mambo yanayoitajika kwa wagombeaji hapa nchini ni Ela na Ela hii sio ya hapa nchini tu hata nchi za nje tufikrie nani beberu au Shirika gani kubwa la nje ya nchi limekuwa na CCM tokea Imeanzishwa Hilo shirika au hiko chama... WB,IMF,USAID na mengine wananufaika kwa upana sana kupitia hii serekali Hawawezi kupendekeza hii nchi kuwa na Election za haki kwani endapo atapoingia chama pinzani Mikataba inaeza kugeuzwa na wa Tanzania tukajitegemea kiuchumi kabisa bila kuomba mikopo
 
Duuu il toto kichwa maji kweli, kwani Shekhe uyo mchekeshaji aliyemtabiri alimtaja kwa jina ? Rais mwanamke alimtaja kwa jina ? Sasa iweje useme Lisu hakutabiriwa wakati urabiri haukumtaja Rais. Kwa jina ? Kwani kiongozi wa upinzani yupo Lisu pekeyake?

Shida yako wewe una ugonjwa wa kujinyea, ukishajinyea tu basi lazima athari zielekee kwenye Kibibi chako na kikishaomba pooo tu ndio haya sasa unayoyaporomosha.
 


Ukiachana na matusi hapo hakuna hoja yoyote.

Umejaa tu hasira za kiwaki.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…