Utatimiaje wakati hiyo chadema haitashiriki uchaguzi? Humu mitandaoni utatimia lakini kwa wananchi ha utatimia. Nenda vijijini kaone jinsi mama anavyoungwa mkono na mikakati ya uchaguzi inavyofanywa na viongozi.Wakati taifa likiwa kwenye mtanzuko mkubwa wa kisiasa kuelekea uchaguzi mkuu 2025,tunashuhudia uminywaji mkubwa wa demokrasia, utawala wa mabavu usiofuata sheria, matumizi mabaya ya pesa za umma na ukosefu wa haki kuliko wakati wowote ule. Hofu hii inazidi kuchagizwa zaidi na kushuka kwa asilimia kubwa kwa kiwango cha idhini ya Samia toka kwa Wananchi (Presidential Approval Rating) kutokana na upinzani kupata nguvu kubwa huku iki-suppotiwa na agenda yake ya "No reforms no election"
Ukiacha hayo mzimu wa utabiri wa Sheikh Yahya umezidi kumwandama na kunyima kabisa utulivu na usingizi rais Samia ambae anaonekana kutokuwa fit katika kila nyanja huku akizidi kuharibu zaidi kwa kudanganya umma waziwazi pasipokuwa na aibu. Tukumbuke Sheikh Yahya alisema yafuatayo.
"Baada ya vipindi viwili vya Rais Jakaya Kikwete atakuja Rais ambaye ni mweusi mchapakazi lakini mchekeshaji. Hata hivyo,ataongoza kwa kipindi kifupi tu hapo ndipo Tanzania itapata Rais mwanamke. Na baada ya hapo Upinzani utachukua nchi."
Je, utabiri huu utatimia mwaka huu? Nini maoni yako.
Kama ni malezi mazuri mbona wewe umekuwa shoga na kuwaumiza wazee wako pande za NyegeziOkay naona tatizo ni IQ .
Na malezi pia .
Lini Chadema wamesema hawatashiriki uchaguzi?Utatimiaje wakati hiyo chadema haitashiriki uchaguzi? Humu mitandaoni utatimia lakini kwa wananchi ha utatimia. Nenda vijijini kaone jinsi mama anavyoungwa mkono na mikakati ya uchaguzi inavyofanywa na viongozi.
Tunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasiTumeshindwa kuwa wamoja kuwawajibisha watawala dhalimu, hii imefanya kuwapa mwanya wa kutugawa na kufanya watakavyo
Inakatisha tamaa sana kwakweliTunaishi kwenye jamii ya kanyanga twende jamii ambayo unaweza kuisafisha ubongo ikafikiri unavyotaka wewe jamii ambayo haiwezi kuchakata fikra chanya na hasi