Utabiri: Weekend hii Simba na Yanga zote zitafungwa huko katika mechi zao za kimataifa

Kwauharo huu uwez kurud hapa jukwaani siku mbili hiz
 
Samalekooo😂😂
 
Vp mzee umeamka salama? Kazini umeenda leo au unajiuguza?
 
Hahaaa
Your browser is not able to display this video.
 
Simba atakufa 1-0 wakati Yanga atakufa 3-0.

Huu ndio utabiri wangu kuelekea ufunguzi wa mechi za ligi ya mabingwa pamoja na shirikisho Afrika kwa ngazi ya makundi. Simba na Yanga watapoteza mechi zao za ufunguzi wakiwa ugenini...

Tupia na wako...
Tabiri tena ...[emoji2]

Sent from my SM-A315F using JamiiForums mobile app
 
Alhamisi ntaleta utabiri wa weekend kama kawaida

Ulituahidi kuwa siku ya alhamis utatuletea UTABIRI wako kuelekea MICHEZO ya CAF upande wa Simba na upande wa Yanga.

Tungekuwa tukisubiri au mizimu imeshindwa kutabiri MATOKEO???

Au ulibahatisha unaogopa kufanya makosa???
Information is power.
 
😂😂
 
Simba 1-1 Raja

Yanga 2-0 Mazembe
 
Mambo

Sent from my vivo 1906 using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…