KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 19,185
- 37,239
Unaendelea tu kuleaHabari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA......
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina......mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la
Hakuna kitu inauma kama kudate na girlriend mmoja tu huyohuyo alafu baadae unakuja kugudua kumbe ni girlfriend of the people for the people to the people by the people[emoji29]Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA......
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina......mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha.....
Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja......
Uaminifu umekuwa jambo adimu kwenye ulimwengu huu uliojawa jeuri, vitimbi na tamaa kwenye mioyo ya binadamu......
Je ukipata kujua kuwa watoto unaowalea sio wa kwako utachukua hatua gani.......??
Inawezekana majibu yetu yakatoa muongozo kwa Wenzetu wanaopitia haya na wahenga walisema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.......
Karibuni tujadili......!!
Lakini uamuzi huu unahitaji moyo wa chuma....
Lakini pia kuacha mke sio jambo jepesi......nadhani waliooa wanajua....Hakuna kitu inauma kama kudate na girlriend mmoja tu huyohuyo alafu baadae unakuja kugudua kumbe ni girlfriend of the people for the people to the people by the people[emoji29]
Sent using Jamii Forums mobile app
Kabla ya kujifundisha kupenda tunatakiwa tujifundishe kumiliki hisia zetu endapo tutasalitiwa kwa sababu usaliti ni jambo linaweza kumkuta mtu yeyote.Habari za muda huu wapendwa...bila shaka sote tuwazima wa AFYA......
Maisha ya kimapenzi yamejawa changamoto na vitimbi vya kila aina......mara nyingi wale tuliowapenda na kuwathamini ndio wanaotuletea vunjiko la moyo na maumivu yasiyoisha.....
Wahenga wanasema kuwa lisemwalo lipo kama halipo laja......
Uaminifu umekuwa jambo adimu kwenye ulimwengu huu uliojawa jeuri, vitimbi na tamaa kwenye mioyo ya binadamu......
Je ukipata kujua kuwa watoto unaowalea sio wa kwako utachukua hatua gani.......??
Inawezekana majibu yetu yakatoa muongozo kwa Wenzetu wanaopitia haya na wahenga walisema mwenzako akinyolewa na wewe tia maji.......
Karibuni tujadili......!!
Kifupi sema huyo n DEMOCRACY GIRLFRIENDHakuna kitu inauma kama kudate na girlriend mmoja tu huyohuyo alafu baadae unakuja kugudua kumbe ni girlfriend of the people for the people to the people by the people[emoji29]
Sent using Jamii Forums mobile app
Girlfriend wa democracy [emoji38][emoji38]Hakuna kitu inauma kama kudate na girlriend mmoja tu huyohuyo alafu baadae unakuja kugudua kumbe ni girlfriend of the people for the people to the people by the people[emoji29]
Sent using Jamii Forums mobile app