Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
-
- #41
Hakika maumivu zaidi ni kwa watoto, baba aliewalea kwa upendo kuambiwa sio baba yao haiwezi kuwaacha salama kabisa.Mwanamke anayefanya hivi ni mjinga kupitiliza. Hii inaleta maumivu ya kihisia ya maisha pale mtoto atakapokuja kuambiwa mtu ambaye alikuwa anamchukulia ni baba yake siyo baba yake. Naona madhara yako kwa watoto zaidi kuliko wazazi.
hii kauli ya kuhalalisha makosa ya usaliti.Kitanda hakizai Haram.
Na watoto?Nnaachana nae Kila mtu afate zake
Huyo itakua alikusudia kufanya alichofanya.Daah wanawake bwana.
Sasa kisa cha kwenda kulala na previous husband mpaka mnapeana mimba na unakausha tu maana yake nini??
Hawa viumbe hatari sana.
DNA test reveled that the twins are the offspring of his wife's previous partner.Vipimo vya DNA vinasemaje?
Atajua mama yao Cha kufanya ila mm Ndo gari ishawaka hvohii kauli ya kuhalalisha makosa ya usaliti.
Na watoto?
Hao ni kuwatoa tu kafara mkuu... Siwezi kulea matoto mpaka yawe makubwa hivyo, alafu niwaache hivi hivi 👹👹mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Ndio hujuani nao tena? Sidhan kama ni ishu rahisi kiasi hicho kwa watoto uliowapenda na kuwajali.Atajua mama yao Cha kufanya ila mm Ndo gari ishawaka hvo
Mwanamke kama huyo ni nyoka. Kuendelea kuishi naye ni kisanga, ni kuachana tumchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Kuua hapana sio sahihi.Hao ni kuwatoa tu kafara mkuu... Siwezi kulea matoto mpaka yawe makubwa hivyo, alafu niwaache hivi hivi
Kuachana haikwepeki lazima hilo liwe.Mwanamke kama huyo ni nyoka. Kuendelea kuishi naye ni kisanga, ni kuachana tu
Utafanyaje🤔utalea tena? Watoto wa zamani wangeheshimu lkn wa siku hz ZiVu zikianza kuota anakuvimbia kisa yy sio bao lako!Ndio hujuani nao tena? Sidhan kama ni ishu rahisi kiasi hicho kwa watoto uliowapenda na kuwajali.
Ni sahihi kabisa, nitatafuta uchawi popote pale unapouzwa.. Na-kill mmoja mmoja... Ili Mama yao asikie maumivu Zaidi yeye atakuwa wa mwisho kung'atishwa shuka.Kuua hapana sio sahihi.
Haitokaa itokeeUko tayari kulea mabao ya wanaume wenzako?
Daah yaani watoto walishakuwa hivyomchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Mama yaoNi sahihi kabisa, nitatafuta uchawi popote pale unapouzwa.. Na-kill mmoja mmoja... Ili Mama yao asikie maumivu Zaidi yeye atakuwa wa mwisho kung'atishwa shuka.
Kabisa sometime DNA zinadanhanya au Mke wake alitafuta hawala wa kufanana na MumeweMbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
Busara ni kumtimua bila kumdhuruni kweli hawafanani, anafanana na huyo wa kwanza kushoto tu. hata hivyo, angetumia busara tu.