Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Mwanamke anayefanya hivi ni mjinga kupitiliza. Hii inaleta maumivu ya kihisia ya maisha pale mtoto atakapokuja kuambiwa mtu ambaye alikuwa anamchukulia ni baba yake siyo baba yake. Naona madhara yako kwa watoto zaidi kuliko wazazi.
Hakika maumivu zaidi ni kwa watoto, baba aliewalea kwa upendo kuambiwa sio baba yao haiwezi kuwaacha salama kabisa.
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Hao ni kuwatoa tu kafara mkuu... Siwezi kulea matoto mpaka yawe makubwa hivyo, alafu niwaache hivi hivi 👹👹
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Mwanamke kama huyo ni nyoka. Kuendelea kuishi naye ni kisanga, ni kuachana tu
 
Ndio hujuani nao tena? Sidhan kama ni ishu rahisi kiasi hicho kwa watoto uliowapenda na kuwajali.
Utafanyaje🤔utalea tena? Watoto wa zamani wangeheshimu lkn wa siku hz ZiVu zikianza kuota anakuvimbia kisa yy sio bao lako!

Kuna jamaang alilea tangu ikiwa mimba hadi mtoto anafikisha miaka saba ndo anajua sio mtoto wake akakata tu mawasiliano na kuachana rasmi na demu
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Daah yaani watoto walishakuwa hivyo
Na mna muda mrefu kwenye ndoa+uchumba sugu+ uchumba hapo tuseme wana zaidi ya miaka 20 sasa kwa nini muachane? Hapo ni kumsamehe tu na hao watoto kaa kimya usiwaambie watakusaidia baadae ukiwa hauna nguvu.
 
Back
Top Bottom