Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
- Thread starter
- #41
Hakika maumivu zaidi ni kwa watoto, baba aliewalea kwa upendo kuambiwa sio baba yao haiwezi kuwaacha salama kabisa.Mwanamke anayefanya hivi ni mjinga kupitiliza. Hii inaleta maumivu ya kihisia ya maisha pale mtoto atakapokuja kuambiwa mtu ambaye alikuwa anamchukulia ni baba yake siyo baba yake. Naona madhara yako kwa watoto zaidi kuliko wazazi.