Mwanaume mwenzangu aliyezaa na mke wangu nitahakikisha anatangulia mbele za haki. Then mwanamke tunatemana.mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon [emoji1062] Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Tumefika HUKO KWENYE NDOA ZENU KINAWAKUTA NINI MPAKA MNAFANYA HAYA??Kuna team inakuja kujipakulia minyama mapema sana
hapo kwenye previous husband hapo,ndio ajifunze, kumbe alipora mke wa mtu.Twins’ True Origins: The truth emerged after a paternity test, which shattered Geremi Njitap’s long-held belief that the twins were his offspring. Instead, they are the biological children of his wife’s previous husband. The weight of this revelation has left the former football icon grappling with a mix of emotions – betrayal, shock, and disbelief.
Naona wanakuja na brass band wakiongozwa na katibu wao mkuu dronedrake na mwenyekiti Liverpool VPNKuna team inakuja kujipakulia minyama mapema sana
Huyu mwanamke ni shetani kweli, watoto hata hawafanani na yeye mwenyewe wala Jeremy.mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Af sasa na wewe. Umeshaambiwa imegundulika siyo wa kwake. Labda wa mdogo wake au kaka yakeMbona mapacha wamefanana na baba yao sasa?😂
KATAA NDOA TUNZA KIBUNDA OVER.Kuna team inakuja kujipakulia minyama mapema sana
Roho mtakatifu wako ndio anaruhusu uzinzibusara ni kufuata kile Roho Mtakatifu atakachokuongoza nacho, hata akisema umsamehe ubaki naye ila watoto wajue baba yao ili wasije kuoana na ndugu zao hapo baadaye, unatakiwa kukubaliana nalo. maamuzi mengi watu wanayachukua nje ya Mungu huwa hayana mwisho mwema. kuna kitu tu kizuri alichonacho huyo mwanamke ambacho hata kama alikuwa na makosa, ila kinamfaa huyo jamaa.
watoto wanaonekana walizaliwa miaka mingi, pengine kabla ya ndoa au baada ya ndoa, wakati ule ambao watu ambao hawajaokoka huwa wanakuwa hawana uhakika na mchumba waliye naye na wanakuwa na wachumba wengi, na si ukute huyo mwanamke hakujua kama mimba sio ya huyo jamaa, pengine alitembea nao wote siku za hatari, na ameishi akijua watoto ni wa jamaa. na baada ya kuoana amekuwa mke mwema, kwanini umtimue kwa makosa ya miaka 15 iliyopita?
SanaWanawake ni viumbe hatari sana
We mchokozi😂Sana
Hao ni wakwake aachane na mambo ya DNAAf sasa na wewe. Umeshaambiwa imegundulika siyo wa kwake. Labda wa mdogo wake au kaka yake
Wewe hapo😁We mchokozi😂
Singo maza HAOLEWIHao ni wakwake aachane na mambo ya DNA
Wanawake wote ukitoa wewe bebe🥰Wewe hapo😁
Milionea huyo kacheza ligi ya Uingereza hana shida na hela,ila amekataa kuendelea kuyalea mabao ya mwanaume mwenzie.Daah yaani watoto walishakuwa hivyo
Na mna muda mrefu kwenye ndoa+uchumba sugu+ uchumba hapo tuseme wana zaidi ya miaka 20 sasa kwa nini muachane? Hapo ni kumsamehe tu na hao watoto kaa kimya usiwaambie watakusaidia baadae ukiwa hauna nguvu.
😳 nimtag aone ulivyoniita?🤣🥴Wanawake wote ukitoa wewe bebe🥰
Amelala muache😂😳 nimtag aone ulivyoniita?🤣🥴
Faida au hasara?Faida ya kuoa single mother,anaeendelea kuonana na mzazi mwenzake.
Itakuwa hivyo, huku alifuata maokoto ila watoto ni kwa ex.Alikusudia,itakuwa alitaka wanae wawe na biological Daddy mmoja.