Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

Utachukua uamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako kumbe sio wako?

mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon [emoji1062] Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Mwanaume mwenzangu aliyezaa na mke wangu nitahakikisha anatangulia mbele za haki. Then mwanamke tunatemana.
Hawezi kuniharibia familia kifala then nimwache salama.
 
Twins’ True Origins: The truth emerged after a paternity test, which shattered Geremi Njitap’s long-held belief that the twins were his offspring. Instead, they are the biological children of his wife’s previous husband. The weight of this revelation has left the former football icon grappling with a mix of emotions – betrayal, shock, and disbelief.
hapo kwenye previous husband hapo,ndio ajifunze, kumbe alipora mke wa mtu.
 
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.

Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Huyu mwanamke ni shetani kweli, watoto hata hawafanani na yeye mwenyewe wala Jeremy.
 
busara ni kufuata kile Roho Mtakatifu atakachokuongoza nacho, hata akisema umsamehe ubaki naye ila watoto wajue baba yao ili wasije kuoana na ndugu zao hapo baadaye, unatakiwa kukubaliana nalo. maamuzi mengi watu wanayachukua nje ya Mungu huwa hayana mwisho mwema. kuna kitu tu kizuri alichonacho huyo mwanamke ambacho hata kama alikuwa na makosa, ila kinamfaa huyo jamaa.

watoto wanaonekana walizaliwa miaka mingi, pengine kabla ya ndoa au baada ya ndoa, wakati ule ambao watu ambao hawajaokoka huwa wanakuwa hawana uhakika na mchumba waliye naye na wanakuwa na wachumba wengi, na si ukute huyo mwanamke hakujua kama mimba sio ya huyo jamaa, pengine alitembea nao wote siku za hatari, na ameishi akijua watoto ni wa jamaa. na baada ya kuoana amekuwa mke mwema, kwanini umtimue kwa makosa ya miaka 15 iliyopita?
Roho mtakatifu wako ndio anaruhusu uzinzi
 
Daah yaani watoto walishakuwa hivyo
Na mna muda mrefu kwenye ndoa+uchumba sugu+ uchumba hapo tuseme wana zaidi ya miaka 20 sasa kwa nini muachane? Hapo ni kumsamehe tu na hao watoto kaa kimya usiwaambie watakusaidia baadae ukiwa hauna nguvu.
Milionea huyo kacheza ligi ya Uingereza hana shida na hela,ila amekataa kuendelea kuyalea mabao ya mwanaume mwenzie.
 
Kama ni Mmasai unalipwa fidia ya ng'ombe wote wanakua wako. Kwisha kazi.

Kama ni koo zetu za simba, na wote wametokana na koo ya simba tunalea bila kuulizana, watoto wa koo za simba ni vigumu sana kujua babake wa kibaiolojia ni nani. Mwanamke wa koo ya simba anaweza kujulikana mapema sana kua huyu kaigawa nje ya koo ya simba, hapo hukumu ya kifo kwa mama na mtoto inamuhusu, tena mtoto akiwa mdogo kabisa au hata kabla hajazaliwa. Mwanamke ndio haepuki kabisa hukumu ya kwenda kuigawa nje ya koo ya simba, wakati ana uhuru wa kujamiiana na yeyeote kwenye koo ya simba.

Hayo matatizo koo za simba hatuna. Ukitaka kuzifahamu koo za simba, pitia uzi huu; Zijuwe koo za Simba
 
Back
Top Bottom