KIXI
JF-Expert Member
- Mar 3, 2015
- 1,955
- 2,465
True manWanawake ni viumbe hatari sana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
True manWanawake ni viumbe hatari sana
busara ni kufuata kile Roho Mtakatifu atakachokuongoza nacho, hata akisema umsamehe ubaki naye ila watoto wajue baba yao ili wasije kuoana na ndugu zao hapo baadaye, unatakiwa kukubaliana nalo. maamuzi mengi watu wanayachukua nje ya Mungu huwa hayana mwisho mwema. kuna kitu tu kizuri alichonacho huyo mwanamke ambacho hata kama alikuwa na makosa, ila kinamfaa huyo jamaa.Busara ni kumtimua bila kumdhuru
This Is weaknessNi sahihi kabisa, nitatafuta uchawi popote pale unapouzwa.. Na-kill mmoja mmoja... Ili Mama yao asikie maumivu Zaidi yeye atakuwa wa mwisho kung'atishwa shuka.
Yaani umehudumiq watoto wamekuwa wakubwa hivyo na unawaacha bure?nawaeleza watoto mimi sio baba yenu. mwambieni mama yenu awapeleke kwa baba yenu akaendeleze kuwalea. nilipowahudumia ndio pamekoma kuanzia leo. na mwanamke namtwanga talaka. mchezo unaisha namna hiyo
Naona unalea watoto wa kidume mwenzio hukoThis Is weakness
umeongeza point ya msingi ya fidia. neno la msisitizo. ila siwezi kubaki nao hali ya kwamba baba yao yupo unless alishakufa.Yaani umehudumiq watoto wamekuwa wakubwa hivyo na unawaacha bure?
Hapana mimi lazima nipewe fidia au nibaki nao ila mama yao tubaki kuwasiliana tu mapenzi ndio yataishia hapo
mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
To kill is weakness, that's what I meantNaona unalea watoto wa kidume mwenzio huko
Hayao ni maamuzi mazito kuliko unavyofikiria na mbaya zaidi Kwa ex husband, na hao watoto kusema kwamba wakusaidie ukiwa huna nguvu omba hekima ya Mungu iwe juu yao na watambue uthamani wako, pia Mama yao awe positive kwao juu ya husband ilihali akijua sio baba yao na afahamu kuwa Mume ameamua kuwa nao sababu anawapenda Sana kama watoto wake wa damu. Inahitaji Moyo mkubwa Sana Sana kuhimili.Daah yaani watoto walishakuwa hivyo
Na mna muda mrefu kwenye ndoa+uchumba sugu+ uchumba hapo tuseme wana zaidi ya miaka 20 sasa kwa nini muachane? Hapo ni kumsamehe tu na hao watoto kaa kimya usiwaambie watakusaidia baadae ukiwa hauna nguvu.
kwa upande wangu ntaongea na huyo mke wangu ili hiyo siri isitoke,tulee watoto basimchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon [emoji1062] Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
Angemsamehe tuuu.mchezaji wa zamani wa Chelsea, Real Madrid na timu ya taifa ya Cameroon 🇨🇲 Geremi Njitap, ametangaza kuvunja ndoa yake na mkewe Laure Fotso, ndoa iliyodumu kwa muda wa miaka 12, baada ya kugundua ya kwamba, watoto wawili mapacha (pichani, wa kike katikati na wa kiume kulia), sio watoto wake.
Utachukua maamuzi gani ukigundua watoto uliowalea na kuamini ni wako, kumbe sio wako?
View attachment 2942848
View attachment 2942852
kirahisi namna hiyo? nakata shauri wewe ni mwanaume dhaifukwa upande wangu ntaongea na huyo mke wangu ili hiyo siri isitoke,tulee watoto basi
Faida ya kuoa single mother,anaeendelea kuonana na mzazi mwenzake.Twins’ True Origins: The truth emerged after a paternity test, which shattered Geremi Njitap’s long-held belief that the twins were his offspring. Instead, they are the biological children of his wife’s previous husband. The weight of this revelation has left the former football icon grappling with a mix of emotions – betrayal, shock, and disbelief.
Alikusudia,itakuwa alitaka wanae wawe na biological Daddy mmoja.Huyo itakua alikusudia kufanya alichofanya.
hata ukiwatosa, jua mtoto wako ambaye amezaliwa mama mmoja nao, hatawaacha, na atakuheshimu sana kama utawathamini watoto alionyonya nao ziwa moja. ugomvi ubaki wa wewe na mama, ila watoto wabaki na furaha na amani. pia, hata mama yao, kwa story hii, inaonyesha watoto hao walizaliwa kabla hawajaoana, ndoa ina miaka 12 wao wana miaka 15, hivyo walizaliwa kwenye kipindi ambacho walikuwa wachumba tu, hawakuwa kwenye ndoa. sihalalishi uzinzi ila nadhani ni busara kwake hao watoto aendelee kuwapenda kama alivyojenga upendo kwa miaka yote hiyo, ila baba yao apatikane ili wajue biological father, wanakujaga kuoana ndugu ukifanya mchezo.Yaani umehudumiq watoto wamekuwa wakubwa hivyo na unawaacha bure?
Hapana mimi lazima nipewe fidia au nibaki nao ila mama yao tubaki kuwasiliana tu mapenzi ndio yataishia hapo