Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

Nani awajibike kulea bao la mwanaume mwingine?
Mkuu una tatizo la uelewa au? Sijasema kulea mtoto wa mtu mwingine. Namaanisha usizalishe mabinti na kuwaacha mnatuletea mzigo mkubwa huku mtaani. Kama utaweza kulea mtoto wa mtu mwingine wajibika tu kwa sababu hata wako kuna siku atahitaji malezi ya mtu mwingine imagine akajibiwa ivyo.

Hatujafa hatujaumbika. Ukikua utayaelewa haya
 
ni kusonga mbele tu, kurudi nyuma ni kujichelewesha zaidi πŸ’
 
piga chin
Ndio maana ndoa zenu hazidumu. Kama ana mtoto kabla hujawa naye na huyo mtoto hakai kwako wewe kinachokuuma ni nini hadi kumuacha.

Inatakiwa uendelee na maisha, kwa mimi akizalia ndani kwangu mtoto ambaye sio damu yangu ndio namuacha ila alizaaga miaka 7 iliyopita. Hahahaaa huyo hanihusu kabisa.
 
Point n moja kwann akufiche uje kujua miaka kama 6 mbele kwann yaani?
 
hili nalo anahitaji ushauri....aisee huyo bro kweli bwege
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…