Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

Kwa nini ulikubali kulea bao la mwanaume mwingine? Umepata ulichostahili

Kuna wanaume mnajua kujidharirisha. Kweli unamuoa single maza?

Hao wanawake ni takataka na wanaowaoa ni wapumbavu na wajinga
Hivi wewe unavyopondaga single maza una uhakika huyo babako ni your biological father na sio amekulea kwa hisani tu?? Wewe na mamako mlitakiwa muwe Street?! Una uhakika mamako hakumsingizia babako mimba yako? Namaanisha babako analea bao la mtu mwingine as you put it?!
 
MASINGO MAMA 80% NI MAKAHABA.

TUNAISHI NAYO MTAANI HUKU.
 
Ameoa au walisogezana tu???. Km ni kuoa aliangalia nini???? Mana ni hatari na si salama kunywa maji uliyokuta yamefunguliwa. Kama hakuzingatia hilo usilalamike ukipata matatizo ya kiafya ulishaamua kuweka afya yako rehani.
 
Piga chini
 
Hayakuhusu mkuu
 
Kwani hata matiti ya kunyonyesha mtu tatu plus wanaume hakuyaona?
 
Mwanamke aliyezaa anajulikana vizuri tu. , kaka zangu mnafeli wapi?
 
Kwa nini ulikubali kulea bao la mwanaume mwingine? Umepata ulichostahili

Kuna wanaume mnajua kujidharirisha. Kweli unamuoa single maza?

Hao wanawake ni takataka na wanaowaoa ni wapumbavu na wajinga
Akili yako iko kwenye tundu la chini.

Ulipoenda kuoa ulishajua wanawake bikira na wasio bikira. Ulijua kwa kutazama? Kama uliwaonja, hao uliowaharibia bikira zao ulizirudisha? Siyo baadhi yao uliwazalisha na kuwabwaga? Awaoe nani hao uliowabikiri na kuwazalisha?

Mamako mwenyewe alikutwa ashatoa mimba mia. Halafu unajifanya kuwadharau.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…