Utafanyanini ukigundua kua mkeo ana mtoto aliyemzaa zamani na alikuficha?

Mimi sijadharau mtu madam.
 
Acha ujinga na kuingilia yasiyokuhusu.
Mi nimekutuma ukanianike JF?
Mi muoga nimeshindwa kuomba ushauri mwenyewe?
Angalia,utakuja kukazwa. Tafuta hela,acha ujinga na umbea
 
Oooh please,kuweni na huruma na hawa kinadada wanapitia sana,tulaumu hawa wanaume wanaowakimbia,tusipokemea hii tabia inazidi,mifumo yetu ndio inatuangusha wanawake,ingekuwa nchi zinajitambua wasingejaribu huo mchezo,sheria ingewabana ukizaa ujue unalea child support inakatwa juu kwa juu kupitia kipato chako.

Alichokosea huyo dada ni kutosema ukweli but watoto wote ni baraka.sasa utapata mtu kazalisha lakini kutwa kutukana single mom's that's weird.
 
Kuna wanaokimbiwa, na kuna wanaosababisha waachwe. Kabla ya kulilia mifumo, ni vyema watu wakabadilika, wazingatie tu maadili, wautafute ukomavu wa akili. Kuhusu Child support, siyo kama hiyo sheria haipo, implementation yake haiwezekani sababu wazazi wenyewe wanahitaji support ili angalau mkono uende kinywani.
Kuna kesi nyingi pia mimba alinyang'anywa mhusika akaenda kupewa mwingine, huyo mwingine akaja kustuka kuwa siyo ya kwake, sasa hapo unamlaumu vipi mwanaume wakati kuna mwanaume alinyang'anywa mimba.
Wengine hukamata mimba kimkakati na kuzitumia kuchuma hela kutoka kwa wanaume tofauti kwa kumwambia kila mmoja mimba ni yake.
Alichokosea huyo dada ni kutosema ukweli but watoto wote ni baraka.sasa utapata mtu kazalisha lakini kutwa kutukana single mom's that's weird.
Watoto siyo baraka, watoto ni jukumu ndiyo maana usipowajibika kwenye jukumu hilo basi watoto hai huweza kuwa sumu, fedheha n.k
Watoto siyo baraka bali ni jukumu
 


Amuache, ila najua hatosikia
 
Kwa hiyo kwa kuwa kuna wanaume wanaouyanga wewe ndiyo unajitokeza kuwa mfukio mashimo wao na mbeba dhambi zao kwa kujiokotea wanawake waliozalishwa na hao wanaume?
Soma kuelewa mkuu. Usiwahi ku reply kabla hujaelewa
 
Kinyume cha haram ni halali. Huyo si mtoto wake halali kwa sababu yeye siyo baba halali wa mtoto, tusaidie kinyume cha halali ni kipi.
kitanda hakizai shetani.. unalea tu.. ila amkanye asirudie tena
 
Mimi binafsi ningetoa taraka zote tatu na kila mmoja anachukua hamsini zake.....sijui wenzangu huko....
 
Mwanamke anaeficha uzazi wake damu yake machungu yake seleka la Labour akalionea aibu au kinyaa ni hatari sana hata akiwa nao 5 akwambie umkimbie fresh kuliko huyo anaeficha, mkuu kimbia chap usigeuke nyuma
 
Single maza asiolewe, aendelee zalishwa tu
 
Anaonyesha kuwa sio muaminifu, huyo ni mdanganyifu kwa kuzaliwa. Anaweza hata kukuua muda wowote.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…