UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Hivi unawezaje kusema umaarufu wa Rais umeshuka wakati kila kukicha wabunge na madiwani wa upinzani wanahama vyama vyao kwenda kumuunga mkono?

Jamani hebu twende taratibu kidogo, haya maisha magumu tuliyonayo msituongezee stress nyingine kwenye ubongo.
 
We ndo bure kabisa!
 


Wananunuliwa hawahamia
1.5 trillion
 
Hata Mimi napinga kwakua takwimu za Mwenyekiti wetu wa kile chama pendwa hazipo
 
Mkuu Tindo za masiku naona bado upo katika ubora wako nilimiss sana nondo zako hizi.... Hoja uliyojenga ina mantiki sana ila cha kushangaza waafrika tunatunga sheria ambazo hatuko tayari kuzisimamia sasa unaweka tume ya uchaguzi, umamwaga mabilion kwa ajili ya uchaguzi alafu hauko tayari kupokea matokeo hasi what's that??.... Kama wanaona demokrasia ni mzigo wafute tu vyama vingi ili tuepuke gharama zisizo na tija kwa nchi maskini kama yetu. Kiukweli trump alikua sahihi kutuita sh*t holes!!!

Cc Malcom Lumumba
 
Nasi tutashangaa sana kwamba mwaka huu hajuliki then mwakani 90%
 
Sasa sisi tufanye nini? basi tusubiri box la kura liseme
Box la kura litasema nini ndugu yangu wakati ninyi wenyewe mnaliwekea maneno mdomoni?

Watu wezi sana nyinyi!yani muibe hela,muibe hoja na ahadi za wenzenu kwenye campaign na tena muibe na karatasi zenyewe za kuraa?

Ogopeni moto jamani!!!
 
lema ebu acha vurugu bwana ingelikua ccm peke yake katika utafiti huu ungelipongeza eti ee
ebu kubaliana na hali halisi ya UTAFITI
 
mjadala huu ni utafiti tosha kabisa, mimi nilikuwa muumini wake ila nishahama kitambo.
 
Hata Mimi sikubaliani nao kabisa utafiti huo kwa sababu haiwezekani magufuli akawa bado anakubalika kwa 55% kwa wananchi, katika hili niko pamoja na Lema

Utafiti hupingwa kwa/na utafiti...njooni na tafiti zenu, basi..
 
Kwakweli...Hata mimi siamini nchi hii ina wajinga wengi kiasi hiki... yaani 55%
Mkuu nchi ina wajinga wengi sana wala sio kushangaa ndio ukweli. Ukitaka kuanini kwenye hoja ya msingi mtu anaingiza ushabiki wa kipumbafu.
 
Utafiti hupingwa kwa/na utafiti...njooni na tafiti zenu, basi..
Tumeshaufanyia utafiti utafiti huu hakuna sehemu wananchi walihojiwa, au wewe towa ushuhuda ni lini umehojiwa?

Halafu methodology yao watakwambia ni ya watu 2000 tu pumbavu kabisa hawa.
 

Mkuu nipo, tulikuwa wakimbizi wa kimtandao huko Kenya kwenye jukwaa la Kenya talk. Huko kwa sasa ndio litakuwa kimbilio letu pindi mizengwe ikianza huku home.
 
Hata Mimi sikubaliani nao kabisa utafiti huo kwa sababu haiwezekani magufuli akawa bado anakubalika kwa 55% kwa wananchi, katika hili niko pamoja na Lema
Mkuu kuna mahali nimeandika jana kwamba huyu JPM kwasasa kukubalika kwake ni 30% kwenda chini..
Tanzania ya leo haiwezi kuwa na kiasi kikubwa cha wajinga wengi wa kufikia hiyo asilimia 55%..
Hakuna.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…