UTAFITI: 55% ya wananchi wanaukubali utendaji wa Rais Magufuli 2018 toka 96% ya 2016

Hazifiki hata 20. ni chini ya 10%
 
Zitapanda mpaku kufikia 100% kasha kutana na wastafu maoni yao anayafanyia kazi kwahiyo mtapata tabu sana
 
Kwa trend hii ya downward spiral ya (2016) 96%; (2017) 71%; (2018) 55%; we can safely project kwamba (2019) itakuwa 40% na (2020); yaani mwaka wa uchaguzi approval rating itafikia 20%! Anguko la kishindo no wonder Costech wameanza kuwakemea TWAWEZA! Hakika hiki ni kipigo cha Mbwa koko! Kweli "Watapata tabu sana, nasema WATAPATA TAABU SAANA!!!!
 
Hi Taasisi itapigwa marufuku hapa nchini kwa uchochezi!

Hii ni kuongoza watu kibabe kwa kuwalazimisha waimbe, waseme na wacheze ngoma unayoitaka wewe....Huu siyo utawala baali ni UDHALIMU...!!!1
Kwanini kama Serikali au Rais wakatae maoni ya Taasisi zingine?Nini hofu yao na wanaogopa nini?Hayo si maoni tu ya Wananchi wanaowaongoza yanaweza kuwa na ukweli wa asilimia kadha pungufu au ziadi ya kile kilichowasilishwa....!!
Hili swala la kulazimisha Takwimu kuwa lazima ziwe sawa na TBS au COSTECH katika nchi yenye raia zaidi ya milino 50 ni uendwazimu na ukichaa....!!!
 

Unachosema ni kweli. Ila kitakachotokea ni KUPIKA MATOKEO YA KUFA MTU.....Utashangaa TUME TEULE YA UCHAGUZI WA CCM(NEC) itakuja na matokeo ya kama ifuatavyo JPM: 70% na UKAWA: 28% na 2% zikiharibika.....!!!
Huu utawala wa CCM ni sawa na ukaburu wa enzi za kupigania Uhuru waliokuwa wakifanyiwa ndugu zetu wa Sauz!!!
 
Reactions: MTK
Watahangaika kutisha watu lakini ukweli utabaki kuwa ukweli kuwa CCM watu wameichoka.
 
Ni mawakala wa shetani! Lakini Mungu anawaona na hawataishi kututawala hovyo kiasi hichi milele.
 
Wameandikiwa barua tayari twaweza maana utafiti wao haukubaliki na jiwe
 
Serikali imeanza kuupitia kama alivyosuggest Kamanda wetu mtiifu Lema
 
Mimi nimejua ni za kupika kwa lengo fulani, ningeona ni chini y 30% kidogo ningeshawishika kuamini huo utafiti. Wao Twaweza waweke kwamba anakubalika kwa 99% tu. Tunajua kilicho kwenye tafiti zao ni mapishi kwa lengo fulani.
Mkuu mapishi yao bado yanaendelea?
 
mkuu ulifunguka sana
 
Sasa we tume ina aliyekuwa katibu mwenezi wa ccm unategemea washinde kihalali
Ni wizi tu
Twaweza wenyewe ni ccm tafiti zao sijawahi kuziamini
 
Hahaaaa!!! Unasema????? Kwa hiyo nani,noninino ni nyani[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…