Babuu Rogger
JF-Expert Member
- Nov 16, 2011
- 1,529
- 1,119
Mkuu mapishi yao bado yanaendelea?
Ha ha ha ....kwa hiyo ni sahihi kabisa kimaadili kisheria n.k kwa Twaweza kuchukuliwa hatua.Wale wanaowatumia kupika data wameamua kuwachulia hatua baada ya kurushana kwenye ile deal ya jamaa kukubalika kwa 96%. Sasa jamaa nao wameamua kutoa 55% japo ukweli kabisa ni chini ya 30%. Sasa hao walevi wa madaraka kwa kuwa wanajua huwa wanapika data ndio wameamua kutumia sheria zenye nia ovu kuwakomoa.
Ha ha ha ....kwa hiyo ni sahihi kabisa kimaadili kisheria n.k kwa Twaweza kuchukuliwa hatua.
Hapa si unaongelea upikaji data?
box kama lile mlilokimbia nalo kinondoni ama ?Sasa sisi tufanye nini? basi tusubiri box la kura liseme
Hata hizi 5% ni nyingiHaiwezekani jiwe akubalike55% mim nadhani5% ndio anakubalika
We mtu hata familia yake hamkubali, halafu sisi wananchi ndio tumkubali kwa kiwango, hiki.
Yaani familia yake wakipiga kura ya siri nasema lazima a patent ziro, sasa huko bungeni ndio sisemi kabisa, na ndio maana anaweza mkakati ya kutaka kugombea bila kupingwa ingekuwa amrita yake angefanya kama enzi za mchonga na mwinyi, unagombea na kivuli lakini bado kivuli kinashinda
Wasiojulikana, loh dada yangu Mungu atakusimamia. TUOMBEManeno hayo aliyesema katika mjadala wa kujadili repoti ya utafiti wa TWAWEZA, Mwalimu wa Chuo Kikuu Cha D'salaam.
Yes, ndiyo yeye!Huyo ktk picha ndo amesema? If yes ni Dr Vincensia Shule.
namuona Max ameshika kidevu anaona balaa linamjia Dr.Maneno hayo aliyesema katika mjadala wa kujadili repoti ya utafiti wa TWAWEZA, Mwalimu wa Chuo Kikuu Cha D'salaam.