Yamakagashi
JF-Expert Member
- Sep 19, 2016
- 8,614
- 17,626
Bora hata ingekuwa kampuni binafsi huyo jamaa kageuza nchi kama familia yake ,akiamka asubuhi makofi kwa mama ,mara mateke kwa watoto ,vichapo kwa mashangazi na hakuna wa kumfanya kitu kisa nchi imekuwa familia yake
Yana mwisho haya ila aombe sana uwe mwisho mwema japo vihunzi vya Karma sijui atavirukaje
Hongera Dk Shule kwa kusimamia ukweli .
Yana mwisho haya ila aombe sana uwe mwisho mwema japo vihunzi vya Karma sijui atavirukaje
Hongera Dk Shule kwa kusimamia ukweli .