Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mpaka Simiyu wameelimika basi tunafanya kazi si haba 😍Very true. Yaani kwa CCM chama cha Nyerere mpigania uhuru,hauwaambii kitu.
Rais wa wajingaAsilimia 66 halafu watu wanawaza kushinda tunasubiri tu jembe magufuli aapishwe Viva CCM Viva magufuli
Pole tazama hizo asilimia mi naona ndogo kihalili Ni asilimia 90Ujinga, upumbavu wetu ndio mtaji wa ccm. lkn safari hii miaka 5 tumeungua matako, tumejitambua
Yaani wewe acha tu.Simiyu enzi hizo hawakusita kumpigia John Cheyo kura. Ila hiyo ilikuwa ni Bariadi tu na vile aliwaahidi kuwajaza mapesa.Mpaka Simiyu wameelimika basi tunafanya kazi si haba 😍
Hatujali wengi wape [emoji23][emoji1787][emoji2960]Rais wa wajinga
Hapo SasaVijana wenye mahaba na upinzani 49%.
Kwenye hii 49% ni vijana wa vyama vyote wapo humo. Cuf,Cdm,Act,Nccr n.k.
kumbuka huyu huyu twaweza alisakamwa kwa kusema magufuli hakubaliki! Hivyo safari hii kaunga juhudi kama gwajipornAsilimia 66 halafu watu wanawaza kushinda tunasubiri tu jembe magufuli aapishwe Viva CCM Viva magufuli
na wewe utakua miongoni mwa hao 66%. Nani kakwambia ni 66% ya wapiga kura.Asilimia 66 halafu watu wanawaza kushinda tunasubiri tu jembe magufuli aapishwe Viva CCM Viva magufuli