UTAFITI: 99% ya wanaume tangu waache kuogeshwa na mama zao hawajapaka makalio yao mafuta

Mwanaume rijali hana muda wa kulainisha makalio yake ili yaweje? Amuone nani ? Kwanza kwanini unamruhusu mwanamke akushike makalio ? Pumbaaaaavuuuuu shikeni adabu zenu.
 
Unapaka ili kulainisha nini sasa?
Huo mda kwanza wa kuanza kupaka kalio mafta unautoa wapi mwanaume?
Hizo ni kazi za wanawake, mm nasubr nioe kwanza, hiyo ni ajira ya mkewangu
 
Thread za kibashite hizi shida kweli!. Yaani unataka mwanaume alainishe makalio yake.
Ukapimwe akili Aiseeee!!!
 

Hii sehemu unataka kuitelezesha kwa madhumuni yepi?
 
Mimi napaka a ni umaridadi tu kama unajipenda unapaka wala haina Shida yoyote unakuwa na ngozi nyororo zaidi na unabaki mwanaume kama kawaida
Wachafu utawajua tu lazima watafute kisingizio.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…