UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

Raymanu KE

JF-Expert Member
Joined
Jan 20, 2022
Posts
8,611
Reaction score
16,118
Habari zenu wakuu,

Hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu (wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi (umesimama).

Nilifanya jaribio kwangu Mimi mwenyewe nikaona Urefu wangu wa mwili unawiana kabisa na Urefu wa uume wangu. Nikawa na ukakasi kidogo ndo nikaanzisha zoezi la utafiti.


Naomba nisieleweke vibaya pliz, sio kwamba nilikuwa naenda kuwapima watu Moja kwa moja ila nilikuwa nawasanua Kama vipi wajipime wenyewe Kisha waniletee majibu.

Majamaa wali-cooperate Sana na walikubaliana nami wakasema Urefu wa mwili (ft) na Urefu wa uume (inch) unawiana Moja kwa Moja.

Kwa mfano mtu akiwa na Urefu wa 6.5 feet Basi bila Shaka uume wake utakuwa inchi 6.5 ukiwa umesimama. Ukiwa na Urefu wa futi 4.5 bila Shaka uume wako utakuwa 4.5 inches (kibamia).

Before you comment by either disputing or supporting my research please make sure you do a practical test on yourself.

Tuendelee kufanya utafiti mpaka pale tutakapopata dawa kuongeza Urefu wa uume😂

DeepPond njoo huku unene Jambo lako.
 
Wadau kwema? iv hiz oil zinazouzwa mfano enlarge oil ni ziko shua?
 
Kwahyo unataka nilete Mambo ya kilimo kwenye jukwaa la MMU Nini?
Kilimo kina jukwaa lake Kama unataka kufanya kilimo nenda kaweke huko kambi upate ujuzi...this segment is exclusively meant for MMU Huyu
Utafiti wako mkuu hauko sawa labda kama uliwapima wajapan & wachina kuna matall wengi tu wenye vibamia na mashort wengi wenye mikuyange ya hatari


Msalimie James Delicio
Watafiti wa Bongo wanadeal issues related to ngono tu......Kuna Kilimo pia 🤣
Hakuna kitu Kama hicho mkuu,urefu wa mtu uko directly proportional to urefu wa uume wako.Nimeshalifanyia hili utafiti wa kutosha Sana.
...dawa ya kufupisha vipi, ipo??
Back to the point, utafiti wako una mushkeli. Kuna wafupi wenye mashine inakaribia goti😊
 
Back
Top Bottom