UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

UTAFITI BINAFSI: Urefu wa mtu(feet) Ni sawa sawa na Urefu wa uume wake( inches)

Tangazo la biashara kazini

Unaanzisha vita mkuu na watu wafupi
 
Au mimi ndo sijamuelewa mleta mada??
Kamaanisha urefu wa miguu.
Na kama ni hivyo ni kweli kabisa 90% mana imebidi nikumbuke [emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa

Imagine kuna BF alikua anavaa kiatu no 38 yani viatu vyake hata mm 39 vinanibana
[emoji23][emoji23][emoji23] nimecheka sana sikipatii picha hicho kibamia chake[emoji119]
 
Au mimi ndo sijamuelewa mleta mada??
Kamaanisha urefu wa miguu.
Na kama ni hivyo ni kweli kabisa 90% mana imebidi nikumbuke [emoji23][emoji23][emoji23] kweli kabisa

Imagine kuna BF alikua anavaa kiatu no 38 yani viatu vyake hata mm 39 vinanibana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Tafiti zako ukiwa unafanya uwe unawatumia wanawake.

Siri za maumbile ya wanaume wanayo wanawake so kuwa mpole tu.

Kama umebarikiwa wewe mshukuru Mungu.hali ni tofauti mtaani[emoji3][emoji3]
Kwan yeye amejuaje? [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Daah mwanangu unajindanganya sana umenikumbusha kisa kimoja hivi enzi za ujana form 3 hiyo tupo bwenini kama kawaida Sisi wanaume ma story yetu ya hapa na pale mara ikafika mada ya jamaa yetu mmoja sijui jamaa huwa hapendi kuoga na watu wengi anaogaga peke yake kisa ni kuwa mwana ana mguuu wa mtoto
Si ukatokesa ubishani hapo kuwa hamfikiii jamaa moja yeye alikuwa form 2 ngoma ikaanza tutafute uushaidi na kweli bweni zima nikajaa kulinganisha hawa viumbe issue ni hivi hawa jamaa mmoja ni mrefu mwingine ni mfupi aisee wale jamaa inch 10 wanafika
Na hapo walikua 4m 2 kwa 3? Sahivi itakuaje? /
 
Huu utafiti si kweli, wakati tunasoma Olevel kuna jamaa alikuwa mfupi kinoma ila mzigo wake ulikuwa wa ajabu, yaani mkienda kuoga bafu la wazi nyie wengine mnajiona kama mmepewa vya kusaidia haja ndogo itoke tu.
 
Habari zenu wakuu, hope mko fresh Sana. Nimefanya huu utafiti kwa muda wa wiki Moja na Nimetumia sample size ya watu(wanaume) 50 na hatimaye nimegundua kwamba Urefu wa mtu in terms of feet unawiana na Urefu wa uume wake in terms of inches ukiwa umepanda mtungi(umesimama).

Nilifanya jaribio kwangu Mimi mwenyewe nikaona Urefu wangu wa mwili unawiana kabisa na Urefu wa uume wangu. Nikawa na ukakasi kidogo ndo nikaanzisha zoezi la utafiti. Naomba nisieleweke vibaya pliz,sio kwamba nilikuwa naenda kuwapima watu Moja kwa moja ila nilikuwa nawasanua Kama vipi wajipime wenyewe Kisha waniletee majibu. Majamaa walicooperate Sana na walikubaliana nami wakasema Urefu wa mwili( ft) na Urefu wa uume(inch) unawiana Moja kwa Moja.

Kwa mfano mtu akiwa na Urefu wa 6.5 feet Basi bila Shaka uume wake utakuwa inchi 6.5 ukiwa umesimama.
Ukiwa na Urefu wa futi 4.5 bila Shaka uume wako utakuwa 4.5 inches( kibamia).

Before you comment by either disputing or supporting my research please make sure you do a practical test on yourself.

Tuendelee kufanya utafiti mpaka pale tutakapopata dawa kuongeza Urefu wa uume[emoji23]

DeepPond njoo huku unene Jambo lako.
Yawezekana wewe ni kima
 
Mimi n mfupi lkn ume wngu n mrefu mpk wanaobahatika kupata hudum yangu huwa wanashangaa maana wanajua nna kibamia kutokana na kaunene kangu ka asili afu n mfupi kiasoi.Nilishawah kukataliwa na mwanamke akidai sitomuweza nna uume mdogo kutokana na alvyoniona kumbe niko tofaut kabisa so utafit wako sikubaliani nao sana.
 
Unaweza ukawa uko wrong, mimi futi 6 hazijakamilika ila yangu ni 6 inches net.
 
Back
Top Bottom